Mnaosema Waisrael waliopo sio halisia na ni wazungu wenye macho ya bluu, sasa mlitegemea mlipowafukuza huko walipokimbilia wazaliane na mawe au?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
3,064
9,330
Leo hii Israel ina:

50% Middle Eastern Jews.
Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa. Hatimae walirudi nyumbani baada ya kuzaliwa upya kwa taifa la Israel 1948 na pia wengine walirudi Israel kutokana na kufukuzwa na kutengwa katika nchi za Kiarabu walizokuwa wanaishi miaka mingi.

20% Arab/Druze.
Hawa ni wale vizazi vya miaka mingi ya utawala wa Waarabu katika eneo la Israel.

30% EuropeanJews
Hawa ni wale Wayahudi waliokumbilia nchi za ulaya kama polana, uholanzi, german, etc. Hawa ndio wale ndugu zao mamilioni waliuliwa na NAZI. Hawa waliweza kujichanganya na wazungu wa kule ndio maana unamuona mtu kama Netanyahu ana asili kama ya kizungu hivi. Hawa pia waliweza kurudi nyumbani taifa la Israel lilipoanzishwa upya 1948
 
Kama Waisrael hapo walipo sasa ndiyo kwao kwanini miaka hiyo ya 1940's walikuwa wakitafutiwa maeneo tofauti ya kwenda kukaa na baada ya kukataliwa ndiyo Wazungu wakalazimisha wapelekwe hapo walipo sasa? Kwanini usingefanyika uamuzi wa moja kwa moja kwamba kwa sababu kwao ni sehemu fulani basi wapelekwe huko kwenye nchi yao ya asili?
 
Back
Top Bottom