MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
We ni mtu mjinga!Hicho kipindi nimekiona sana tu na pia kuna mshenga wa lowasa nae nimeona sina la kusema zaidi
We ni mtu mjinga!Hicho kipindi nimekiona sana tu na pia kuna mshenga wa lowasa nae nimeona sina la kusema zaidi
hao wanaiman haba ndo maana hawatembei:Katika ulimwengu huu wa leo imani ni pesa tu hakuna ukweli kabisa niliona ktk kanisa la kakobe eti viwete wanaokuja kwa mara ya kwanza kanisani wanatembea hapo hapo wakati huo kuna viwete wapo kila siku hapo kanisanu hawatembei
Huwezi kuwakuta kwa sababu sio misukule anymore, they are as normal as anybody else. Got it?
Mfungwa akitoka kfungoni haitwi mfungwa tena.
mimi kwanza nahitaji uthibitisho.Mm mwenyewe nimecheza sana hayo maigizo ili kuvuta wateja,ile ni biashara kama biashara nyingine na kama kuna mtu anahitaji usibitisho anitafute,
sure mkuu watu wanakazana kuleta stori wakati ishu ni kusema tu walipo na wanaendeleaje na haya majibu wala hayahusiani na maandikoHadi hapa maswali yote mawili yaliyoulizwa hayajapata majibu yake. Pengine hii inaashiria kuna mengi nyuma ya pazia.
ooh afadhali unaonekana unaelewa kidogo. Sawa ni watu kamili je naweza jua wapo mpaka sasa kanisani? Wanatumia majina gani nami nataka kuwafahamu ili nimtukuze Mungu zaidi nikiwa na mifano hai kuwa flani alikua msukule tumemuombea na kumfungua na sasa ni huyu hapa ndo nachotaka kujua kwa nia njema tu lakin naona majibu yako kama yana ukali na hayako specificHuwezi kuwakuta kwa sababu sio misukule anymore, they are as normal as anybody else. Got it?
Mfungwa akitoka kfungoni haitwi mfungwa tena.
Nna video ya mtu anatolewa msukuleni, akiwa hawezi kuongea, hana ufahamu sawasawa, akiwa uchi, mchafu hajaoga for years. Akafunguliwa kabisa na sasa nafikiri ameoa. Yupo normal kabisa anaeleza alivyochukuliwa, nani alimchukua, alikuwa anafanya nini huko, n.k. Haya mambo ni hallisi kama mtu kuendesha baiskeli.Ooh! Now you're talking my dear
Sasa huwa wanakua kama wengine kula na kuongea? maana ulimi walishakatwa
Sorry kwa lugha inayoonekana ya ukali, ila hao watu waliochukuliwa msukule wapo, na unaweza kuwaulizia kanisani ukaoneshwa ni huyu na huyu. Haya mambo si ya uongo, ni ya kweli kabisa.ooh afadhali unaonekana unaelewa kidogo. Sawa ni watu kamili je naweza jua wapo mpaka sasa kanisani? Wanatumia majina gani nami nataka kuwafahamu ili nimtukuze Mungu zaidi nikiwa na mifano hai kuwa flani alikua msukule tumemuombea na kumfungua na sasa ni huyu hapa ndo nachotaka kujua kwa nia njema tu lakin naona majibu yako kama yana ukali na hayako specific
LOWASA kaingiaje mkuu ,au ushapiga kinywaji chako cha Banana
Watu waliochukuliwa msukule wapo, tena wengi sana. Kwangu sio jambo la kushangaza at all. Kwa nini watu wanakuwa wagumu kuamini? Wapo wanaendelea na maisha yao.Ok,hawaitwi misukule kwa sasa, je wapo kanisani? Hao normal waliokuwa misukule zamani, Je wapo hapo church?