Mnao walazimisha mabwana zenu wawawekee wadada wakazi pitie hapa haraka

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,957
5,883
Onyo: video hii ni yakuogofya hatutohusika kwa mfadhaiko wowote utakaokupata

Ndugu zangu leo sina mengi nipo na hawa viumbe wapenda wadada wa kazi na wao kazi yao kufuga kucha na kusuka minywele hadi kiunoni.

Sasa nyie wanawake mnaotulazimisha tuwawekee wadada wakazi njoeni hapa kuna ujumbe wenu.
 
Attachments

  • Jamani_Naomba_Tuwe_makini_na_wadada_wakazi_za_Ndani_hii_inatisha_weka_Neno_moja_TU🙏🏻🙏🏻.mp4
    2.2 MB
Onyo: video hii ni yakuogofya hatutohusika kwa mfadhaiko wowote utakaokupata

Ndugu zangu leo sina mengi nipo na hawa viumbe wapenda wadada wa kazi na wao kazi yao kufuga kucha na kusuka minywele hadi kiunoni.

Sasa nyie wanawake mnaotulazimisha tuwawekee wadada wakazi njoeni hapa kuna ujumbe wenu.
Wanawalazimisha kuwawekea Wafanyakazi kwenu maboya tu, Ke aende asiende kazini pesa yake haina mchango wowote kifamilia afu awekewe tena house maid kudadadeki.

Ndiyo ongezeko la Juniors, panya roads, mashoga, na takataka tele sababu tu Me hatuna uanaume.
 
Imagine hapa tunavyojadili video hii kuna mtoto/watoto wengine wanapitia ukatili kama huu au zaidi.
Kwa uhalisia wa maisha ya kitanzania uhitaji wa house girl haukwepeki.
Tafakari
 
Ndio maana kuna wengine wananyonga hao wafanyakazi, hii video niliiona juzi, lakini sikuimaliza baada ya kuona huyo dada anatoka na fimbo ya fagio kuja kumchapa nayo mtoto mgongoni...
 
Sijaangalia video ila wanaotesa watoto wana matatizo ya akili makubwa,watoto wazuri wanavutia wanafurahisha unatesaje mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom