Mnamkumbuka Tola mchoyo?

Daah,kweli zamani tulijifunza mengi,unanikumbusha madam wangu wa kiswahili ,madam asha ujij primary miaka ya 2000 ,alipenda kunisimamisha nakusoma mbele ya darasa kipnd hiko,daaaa tola mpaka Leo mm sio mchoyo wa chakula
 
Mie nimekumbuka ile hadithi ya zimwi ambalo lilimuoa yule demu pale kitaa..
Mwanaume mtanashati kumbe alikuwa anaaga na kwenda sehemu na kuogelea na kucheza huku yakitifua udongo mikia ikiwa imewasimama kama nyumbu...
Hadithi inawafunza wadada wawachunguze wanao waoa
Habar za mazimwi ,me na jamaa moja anaitwa yahya kamanda yupo Canada sahiz,yani daaah ilikuwa sikosi kwenda maktaba ya shule kuazma vitabu vya kisawahili
 
Huyo sijui alikuwa ni Masoud Kipanya maana licha ya kumtafuna konokono ila bado yuko vile vile
 
Brown ashika tama
Lindu amuokoa kapilima
Chilunda apambana na chui
Wacha kabisa enzi hizo ilikuwa khatari nakumbuka hadithi ya siku ya usalama barabarani dereva aliambiwa afungue mlango basi alivyofungua ule mlango mzima ukadondoka chini sijui ulikuwa umefungwa na kamba!
 
kwa hiyo siku ya gulio katerero zilikuwa nyingi au!?
Hapana Katerelo ni eneo moja mkoani kagera,ambapo kulikuwa na gulio moja maarufu, watu walikuwa wanapiga sana hela ....kwa kihaya kupiga ni kutera so pakaitwa katerero kwa maana ya pakupigia pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom