Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,711
- 8,012
dah ! watu kweri tunatofautiana jinsi wanaume wengine wanavyoitaka hiyo ndoa kiasi huoni hta raha ya maisha mpk unaweka matangazo mitandaoni lkn wewe unaona keroWanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.
Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.
Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.
Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik
hongera yako ngoja ifike mda wa kuhitajo uone utakavyopokea za uso na kukumbuka hao wote unaoona wanakukera we subiri tu wote tumetokea huko huko kuchagua chagua eti kumtaka mke mwema
now namba tunazisoma