Mmh jamani, wajawazito kwani lazima kuyaanika matumbo!?

Hakuna adhabu kuu kwa mwanamke duniani kama kutokuzaa. Nadhani hii ndiyo sababu kwa baadhi yao kujianika matumbo yao wanapokuwa wajawazito. Ref. Celebrity's
 
Basi wanaofanyaga hv kutuonesha matumbo yao utadhan wao ndo wa kwanza kuzaa,wazae hadharani pia maana kama miili yao tumeshaion kuna nn cha kuficha?hua nakereka sana nikiona picha za hv!
 
Heshima Mkuu!

Nina majibu ya hovyo sana.Kwakuwa umetupa tuchague jibu sahihi basi jibu langu ni namba 2 (Ujinga).Pia namba 3 (Ulimbukeni) nalo ni jibu zuri.

Mwanamke timamu na mwenye hofu ya Mungu kamwe hawezi kufanya uchafu wa namna hii.Iwe kwa kuiweka mtandaoni au hata kuihifadhi,Kwani ili iweje?.

Pia ni kutomlindia faragha kiumbe aliyeko tumboni.I believe in 100% kuwa aliyepigwa hiyo picha asingejisikia vyema kama angekuja gundua baadaye ukubwani kama Mama yake angeupiga ujauzito wake picha kama yeye alivyofanya.

Ninajisikia uchungu mno.Niishie hapa.
Wakizaa watoto mazezeta wanaanza kumlaumu Mungu,tatizo ulimwengu wa giza haeaujui vema.
 
Wanawake Wengi wa Siku Hizi Wakishazaa Dah!!! Yani Hamna Hamna Hana Thamani Tena Bure Unapewa Papuchi bila Mawenge
 
Heshima Mkuu!

Nina majibu ya hovyo sana.Kwakuwa umetupa tuchague jibu sahihi basi jibu langu ni namba 2 (Ujinga).Pia namba 3 (Ulimbukeni) nalo ni jibu zuri.

Mwanamke timamu na mwenye hofu ya Mungu kamwe hawezi kufanya uchafu wa namna hii.Iwe kwa kuiweka mtandaoni au hata kuihifadhi,Kwani ili iweje?.

Pia ni kutomlindia faragha kiumbe aliyeko tumboni.I believe in 100% kuwa aliyepigwa hiyo picha asingejisikia vyema kama angekuja gundua baadaye ukubwani kama Mama yake angeupiga ujauzito wake picha kama yeye alivyofanya.

Ninajisikia uchungu mno.Niishie hapa.
Mara nyingi ujinga au upumbavu aufanyao mwanamke aliye katika mahusiano inatokana na msimamo au miongozo ya mwanamume aliye nae!
 
All is abaut Globalization:

Utandawazi ni mchakato wa mwingiliano na ushirikiano kati ya watu, makampuni, na
serikali za mataifa
mbalimbali, mchakato
inayotokana na biashara za kimataifa na uwekezaji na kusaidiwa na teknolojia ya habari. Utaratibu huu una
athari kwa mazingira,
utamaduni, katika mifumo ya kisiasa, kwa maendeleo ya kiuchumi na ustawi, na
kimwili ustawi wa binadamu katika jamii za duniani kote
 
Back
Top Bottom