Mmezaa watoto watatu leo ndo unagundua mapungufu ya mkeo?

Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.

Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.

Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.

Pole agata, hilo ni swala la Muda tu, kama haukuwa na shida yoyote wala Kasoro yoyote na kweli unampenda mmewako basi omba Mungu tu, iko siku atakurudia kwa magoti

Jitunze na huo mshepu wako wa hatari
 
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.

Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.

Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.

Uzuri sio kila kitu na unaweza kuwa chanzo cha matizo makubwa kwenye ndoa, kama uzuri huo atapewa kichwa maji. Ni bora kwenda kuoa mwanamke asiye vutia na kugawanyika mwili kama ulivyosema.
Kuzaa watoto pia sio issue, inawezekana ndio sasa amekengeuka baada ya kuwa ametulia miaka yote hiyo.

Agatha kua uyaone..
 
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.

Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.

Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.

Uzuri wa mwanamke sio sura au umbo bali ni tabia.
 
kuzaliwa mwanamke ni kasoro tosha,twaish nanyi kwa kuwavumilia mapungufu yenu ya asili,wasio wavumilivu ndo kama ivo,kua uayone.
Wala usijidanganye hakuna kiumbe mkamilifu Duniani, nyie mnayajua mabaya yetu sie wanawake tu ya kwenu aah hamyaoni eeh!!?
Sasa kama kuzaliwa mwanamke mwanamke ni kasoro tosha kwann hakwenda kumuoa mwanaume mwenzie ili aziepuke hizo kasoro?
 
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.

Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.

Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.
Pole kwa kuachwa jikaze utashinda.
 
Mtoa mada mwanamke ukishaishi nae ndiyo utayajua mapungufu yake
Usiombe uwe na mwanamke mlalamishi,bora uachane nae
Hata watoto watakuja kuelewa wakishakuwa wakubwa....kumbe dady alikuwa sahihi
 
Ni mwanamke mwenye mwenye umri kati ya miaka 37-40, mzuri wa sura shepu iliyogawanyika vizuri kiuno kilipo kinajulikana, msafi mcheshi.

Kilichonisukuma kumuandika ni hivi karibuni mume wake waliyezaa nae watoto watatu kumuacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambaye kwa kuangalia tu amfikii mama watatu hata kwa ukucha, tena mbaya zaidi huyu mwanamama alibadili dini ili afunge ndoa na huyu bwana x lakini akaambulia patupu.

Chakushangaza mwanamke mupya ndoa imetangazwa ndani ya miezi mitatu tena na kufungwa kwa bwembwe zote na mwanaume alivyomshenzi anagawa DVD ya harusi kwa kwa majirani maana walifungia mkoani ninachojiuliza mwanamama wa watu alikuwa na kasoro gani au ndumba.
Sio Ndumba mbona haujaweka sababu ya kuamua kumuacha huyo Mwanamke wa Zamani
 
Acha tu kwahyo huyo aliolewa na mbaya kuliko aliekuwepo?
Nahis anaona ndoa ni kuwa na mshepu tu enhee
Labda wanajua ukishakuwa na mshepu ukiogawika basi ndoa tayari inadumu.
 
Wala usijidanganye hakuna kiumbe mkamilifu Duniani, nyie mnayajua mabaya yetu sie wanawake tu ya kwenu aah hamyaoni eeh!!?
Sasa kama kuzaliwa mwanamke mwanamke ni kasoro tosha kwann hakwenda kumuoa mwanaume mwenzie ili aziepuke hizo kasoro?
nimependa hapo tu kwenye rangi nyekundu,ila kasoro za mwanamke zilianzia bustanini.
 
Back
Top Bottom