Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Failed states ndo inapigana na Israel kama kiongozi wao Iran ameogopa kuwasadia, anapita pembeni sembuse Yemen anayejitafuta kwanza?
Nani kakuambia Iran imeogopa kuwasaidia!??
MAKUNDI YOTE UNAOYAONA SYRIA,GAZA,IRAQ,YEMENI yanalelewa na Iran.
Hadi hiyo Hizbollah ya Lebanon inalelewa na Iran.
Hata silaha wanazotumia ni za Iran.
 
Wapalestina wanadai haki gani? Embu niambie kuna taifa lililowahi kuitwa palestina na mwanzilishi wa hilo taifa aliitwa nani ? Na lilianzishwa mwaka gani?
Palestina lilikua toka zamani toka enzi za himaya kuu.
Tueleze wewe Israel ilikua taifa lini na lilianzishwa na nani!?
Hata katika historia tunajua Palestina ilikua sehemu ya Ottoman Empire na ilikua British mandatory territory.
Aya tuambie wewe Israel ilikuwepo lini na ikitawaliwa na nani!?
 
Mandela hafanani na magaidi wa hamas wewe Mandela hakudai uhuru kwa kubaka watu, kuchoma moto watoto wadogo , kuteka watu , na hakujificha shuleni, hospitalini kuhatarisha maisha ya watu wake
Acha uzwazwa wewe.
Ushahidi wa Hamas kuua watoto,kubaka,kujificha nyuma ya raia wote Israel wamekosa kuupata.
Wameunda video fake na zote zilichambuliwa kuwa ni staged videos.
 
sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwqe na USA, Uingereza na NATO ypote na wasenge zao wengone kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?

Utakuwa ni poyoyo wa mwisho kutokuelewa kama Wapalestina na Wayemni ni mashujaa wa kuimbwa.
Kwa maandishi haya huyu sio mwanamke.

Wenye C moja wenzangu mtanielewa.
 
sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwqe na USA, Uingereza na NATO ypote na wasenge zao wengone kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?

Utakuwa ni poyoyo wa mwisho kutokuelewa kama Wapalestina na Wayemni ni mashujaa wa kuimbwa.
Ingawa umeandika kwa kupaniki na mpaka unakosea kosea lakini jambo moja ninalokubalina na wewe ni Kuwa Hamasi ni Wanaume.
 
Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.

La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni!

‘Suicide drone’ explodes near US consulate in Tel Aviv – reports​


An explosion injured at least seven people in an area near the US consulate in Tel Aviv early Friday morning. A man in his 30s and a woman in her 20s were wounded by shrapnel and were taken to the hospital, while the others suffered lighter injuries, according to the Times of Israel.


The Israel Defense Forces (IDF) are investigating the explosion, which it suspects was caused by “an aerial target,” a military term it uses for drones, the Times of Israel wrote, adding that no air sirens were heard ahead of the blast.


Hata hivyo, Israel ni salama zaidi dhidi ya mashambulizi toka kwa Waislamu kulikoni nchi nyingi za Ulaya ambako maadui wa Kiislamu wako nao miongoni mwa jamii zao. Ona vurugu na uchomaji moto wanaofanya Waislamu walioko Uingereza huko Leeds

View: https://x.com/amjadt25/status/1814227130697269402
 
Wahimize viongozi wa Hamas iwaachilie mateka na pia wajifunze namna nzuri ya kuishi na majirani zao
Kabla haujashauri hivyo ungeshauri Netanyahu aache kugawa silaha kwa walowezi wa Kizayuni na aache kuvunja nyumba za wapalestina bila sababu za msingi.
Pia ungeshauri IDF iache kuvamia mitaa ya Westbank na kukamata watoto hivyo pasi na hatia.
 
Wayemen wanasema msihangaike sana kutafuta imetokea wapi, ni wao walioirusha hiyo, wanasema huo ni mwanzo tu, "tuna zuwezo wa kupiga popote israel".
Yemen ya kwao yameshawashinda mda sana, sijui kama wataweza ya gaza na israel
 
Back
Top Bottom