Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Endelea kukariri kijana

Israeli. A total of 121 IDF soldiers were killed in the war, including the two soldiers whose bodies were seized in the Zar'it-Shtula incident that started the war, whose fates weren't confirmed until their bodies were exchanged for Lebanese prisoners in 2008.

Bila kukubali vita iishe wangekufa kama nzi mbwa hao. Wana bahati sana.
Weka data za upande wa hezbollah nao vipi walikufa wangapi na miundo vipi ya lebanon
 
Acha kulialia wewe! Nimeweka data zangu, weka na upande wako,,
Za upande wa magaidi wa hezbollah walikufa magaidi 270 na wanajeshi wa lebanon 58 na raia 1200 walikufa miundo mbinu mingi ya lebanon iliharibiwa hadi leo lebanon ni maskini sasa kama lebanon walipata madhara yote haya sionagi mnachomshabikia hezbollah alimshinda Israel akati wenyewe wameumia pakubwa hivi
 
Possibility of US sabotage in ‌Beirut explosion

TEHRAN, Aug. 05 (MNA) – Following the explosion in Beirut on Tuesday, radar images of "unusual patrols and reconnaissance operations" of four US Navy spy planes on the Lebanon-Syria coastline were released.
Some radar images of unusual patrols and reconnaissance operations of four US Navy spy planes on the Lebanon-Syria coastline were released after the powerful explosion in the port of Beirut.
In this regard, some security experts said that there is possibility of US sabotage, adding that US forces may have planned a sabotage operation in recent days.
3515790.jpg

Security analysts believe this is unprecedented.
The importance of this point and the release of these radar images is that the American intelligence sources were aware of the existence of 50 tons of nitrate that had been stored in this port for about nine years.
3515836.jpg

A massive explosion rocked Beirut, Lebanon, with the force of an earthquake followed by a shock wave that devastated much of the city.
The blast appeared to have followed a fire that had broken out in the city's port area, based on a video from the scene. The cause of the blast was immediately unknown. The force of the blast shook buildings, which were then hit again by the shock wave that blew out windows, sending shards of glass flying.
3515838.jpg

Lebanese Health Minister Hamad Hassan said that more than 50 people have been killed and 2,700 are wounded in a massive explosion at the port in Lebanon's capital, Beirut.
Beirut's governor Marwan Abboud called it a "national catastrophe" and the prime minister declared a day of mourning.
3515840.jpg
 
Mlipuko Beirut: Serikali ya Lebanon yajiuzulu huku ghadhabu ya umma ikiongezeka

Lebanese Prime Minister Hassan Diab chairs a cabinet meeting on 10 August 2020

Serikali ya Lebanon imejiuzulu huku ghadhabu ya umma ikiendelea kupanda nchini humo juu ya mlipuko uliotokea Jumanne ulioharibu sehemu ya mji wa Beirut na kuwaua watu 200.
Tangazo la kujiuzuli lilitolewa katika televisheni ya taifa na Waziri Mkuu Hassan Diab Jumatatu usiku.
Watu wengi wameiutuhumu uongozi wa nchi kuhusika na mlipuko huo kwa madai ya uzembe na ufisadi.
Waandamanaji wameingia mitaani na kukabiliana na polisi kwa siku ta tatu mfululizo.
Mlipuko mkubwa ulisababishwa na kulipuka kwa tani 2,750 za mbolea ya ammonium nitrate iliyowekwa bila kuzingatia usalama kwenye ghala kwa miaka kadhaa bila
Rais Michel Aoun ameiomba serikali iendelee kushikilia mamlaka kwa muda hadi pale serikali mpya itakapoundwa.
Waziri mkuu alisema nini?
Bwana Diab, ambaye aliyeteuliwa kama waziri mkuu Januari baada ya miezi kadhaa ya mkwamo wa kisiasa, alisema kuwa serikali "serikali imefikia mafanikio makubwa ya kandaa mpango wa kunusuru nchi ".
Lakini ufisadi nchini Lebanon "ni kubwa kuliko taifa" lenyewe, na "kuna ukuta mkubwa unaotutenga na mabadiliko, ukuta wa watu ambao wanatumia mbinu chafu za kupinga na kuhifadhi maslahi yao", alisema .
"Walifahamu kuwa sisi ni tisho kwao, na kwamba mafanikio ya serikali hii yanamaanisha mabadiliko halisi miongoni mwa tabaka hili la watu waliotawala kwa muda mrefu ambao ufisadi wao umeiathiri nchi ,"aliongeza
"Leo tunafuata utashi wa watu katika madai yao kuwawajibisha wale waliohusika na mkasa ambao ulijificha kwa miaka saba, nia yao ya mabadiliko halisi," Alisema Bwana Diab.
Waandamanaji wakirusha fataki mjini Beirut siku ya Jumatatu

Nini kitakachofuata?
Katika hotuba waziri mkuu alijionyesha binafsi kama kiongozi mwanamageuzi aliyekwamishwa na janga la ufisadi lililokita mizizi tangu mika kadhaa ya nyuma , anasema mwandishi wa BBC wa Mashariki ya kati Tom Bateman.
Bunge sasa litatakiwa kuamua juu ya Waziri Mkuu mpya -mchakato utakaohusisha siasa zilezile za kimaeneo ambazo ndio mzizi wa maandamano, anaongeza mwandishi wetu.
Hautakua mchakato rahisi na wa haraka kutokana na mfumo wenye utata wa siasa za nchi.Mamlaka nchini Lebanon yanagawanywa baina ya viongozi wanaowakilisha makundi ya dini mbalimbali.
Zaidi ya hayo, kufuatia mwisho wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya kati ya 1975-1990 idadi kadhaa ya wababe wa kivita waliingia katika siasa nab ado wanadhibiti sehemu kubwa ya siasa, uchumi na sekta za kijamii.
Waandamanaji wengi wanalaumu mfumo mzima wa uongozi wan chi kwa ufisad.

Jumatatu polisi walikabiliana na wakazi wenye hasira huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu baada ya kujiuzulu kwa serikali.
Picha zilionyesha waandamanaji wakikusanyika karibu na vizuizi vilivyowekwa kwenye barabara ya kuelekea kwenye jengo la bunge huku vikosi vya usalama vikiwafyatulia gesi za kutoa machozi.
Beirut imeathiriwa vipi na mlipuko?
Idadi ya vifo vilivyotkana na mlipuko wa wiki iliyopita imepanda hadi watu 220 huku watu 110 wakiwa bado hawajapatikana, gavana wa Mji wa Beirut Marwan Abboud alinukuliwa akisema na mtandao wa habari wa al-Marsad nchini humo.
Polisi wa kukabiliana na ghasia walilazimika kutumi vitoz amachozi kuwatawanya waandamanaji mjini Beirut

Wafanyakazi wengi wa kigeni na maderva wa malori walikua ni miongoni mwa watu ambao hawajulikani walipo, aliiambia Televisheni ya Al Jadeed.
Nini kilichotokea kabla ya kujiuzulu kwa serikali?
Hali ya kutoridhika nchini Lebabon limekua ni jambo linalotokota kwa miaka mingi. Hivi karibuni 2019, mpango wa kulipisha ushuru simu za Whatsapp lilisababisha maandamao makubwa dhidi ya hali mbaya ya uchumi ina ufisadi, ambayo hatimae yalisababisha kujiuzulu kwa serikali.
Virusi vya corona vilikua vimezuwia maandamano, lakini hali ya kiuchumi imeendelea kuwa mbaya zaidi na mlipuko wa Jumanne iliyopita ulionekana na wengi kama ni matokeo mabaya ya ufisadi ya miaka mingi na uongozi mbaya.
 
Waandamanaji wasiwasahau hezbollah ndio chanzo cha matatizo ya lebanon hiki kikundi kivunjwe kipo kwa maslahi ya wairan sio lebanon
 
Watu zaidi ya wanne wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa kwenye mlipuko mwingine uliotokea jana Beirut,Lebanon baada ya tank la mafuta kulipuka, hii inakuja ikiwa imepita miezi miwili tangu Bandari ya Beirut ilipolipuka na kuua zaidi ya Watu 200. #MillardAyoUPDATES https://t.co/TDFtGW5sYq
 
Back
Top Bottom