Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 298,018
- 1,164,458
Chumvi sijui mshumaa vyote ni upuuzi wanafanya ibada wasizozijua kwa kudanganywa wanaleta mafanikio maishan mwao kumbe wanajididimiza.
Umewaza mbali sana kwa jicho la tatu tena me sjawahi kuyawazia haya kuna chumvi pia hadi nahisi ni ushirikina sasa lakini wajinga ndio waliwao