mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,647
Nakumbuka kipindi nikiwa Mzumbe miaka hiyo nilikuwa nafata hii kitu Changarawe
hapo kwenye bold and underlineMkuu umenikumbusha miaka ya 2006 hadi 2009 nilikuwa nainya sana hii banana. kama ulivyosema, kuifungua ni nusu saa, ukikurupuka inamwagika yote unaambulia machicha
Ujue wakati ule utoto ni mwingi najaribu kila kitu nakumbuka nilikuwa likizo ya kwanza ya form 5 around september enzi zile. Nadhan ilikuwa inauzwa 400 au 500.Mkuu na wewe michosho, sawa ulikunywa banana yenyewe na sio Bia ya banana, lakini kwanini unywe banana ili hali umevaa Saa ya Dollar 170? ulifkaje maeneo hayo?????
2006 nikiwa hostel kuna rafiki zangu wawili walikuja na banana 3 maana yake 1 kwa kila mmoja wetu,mimi yangu nikaiweka tu nikiiogopa kuinywa maana nilikuwa sijawahi inywa.Nimekuwa nikikatiza maeneo na kukuta hii Bia ingawa binafsi sijawahi ijaribu...ila natamani nione what a local beer has to offer, especially from Arusha!
Mliowahi jaribu hii kitu, je ipo level za kina Serengeti na Kilimanjaro? Wengine walikuwa wanasema ati mataputapu, msemo huu una maana gani?
Ile kitu ni hatar na imewaharibu vijana wengi Arusha japo sasa iv hazitoki kali kama za zamani.2006 nikiwa hostel kuna rafiki zangu wawili walikuja na banana 3 maana yake 1 kwa kila mmoja wetu,mimi yangu nikaiweka tu nikiiogopa kuinywa maana nilikuwa sijawahi inywa.
Mwenzangu mmoja alipo maliza kunywa yake akaanza kuitamani yangu pia nami bila ajizi nikamruhusu anywe,baada ya kumaliza tu kunywa alilewa kwa kiwango ambacho sikuamini macho yangu na ni mtu ambaye alikuwa mnywaji mzuri sana wa vilevi vingine.
Toka siku hiyo huwa naiona tu sitaki hata kuijaribu.
du ! Jamaa muongo wewe..saa dola 170 unakunywa matapu tapu ya sh.200 ?Manina hiyo kitu sitak kusikia nilikunywa tatu mwaka2005 nikalewa chaka nikaanguka saa yangu ya mkononi ya dola 170 ikapasuka. Sitaisahau milele aisee.
Duc in Altum
mbundi mbundi
mama klareeeBaba klaree
Haaa..haaaa..kpanga usasi..kitu n g'ada..mbundi mbundi
ha ha ha ile hapanaHaaa..haaaa..kpanga usasi..kitu n g'ada..
Acha tujadili tu maana nyumba zote zilizopembezoni mwa mto ni mwendo wa X. Naona wanataka kujenga bandari kila mahali maana nasikia mapato yamevuka lengo?Leo naona tunajadili BIA
Mkuu na wewe michosho, sawa ulikunywa banana yenyewe na sio Bia ya banana, lakini kwanini unywe banana ili hali umevaa Saa ya Dollar 170? ulifkaje maeneo hayo?????