Mkuu wa Wilaya ya Magu, mkamate FAKE Deogratius Kisandu hapo Magu

Wewe una psychological problems...!!!
 
Kisandu wahi hospital ujachelewa....soon utaanza okota makopo
 
Mbona huyu jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuwa kisandu? Au yeye ndo kisandu fake ndo maana anajaribu kujinadi. What is so special about this name? Kama kakuibia jina lako na wewe tafuta lingine kisha nenda mahakamani kaape kubadili jina, majina yapo mengi tu, nina jamaa zangu wanamajina special akina Titus Koti, John Shati, Prosper Kaguo, wakina John Pazia, peter Tandiko, Ernest Bunduki. Nawewe tafuta lako kama Deogratius Maboga.
 


Deogratius Kisandu tafadhali nisaidie kuelewa.....
Ilikuwaje MTU uliekuwa unasoma nae akiwa na jina lake kisha ulipoondoka yeye aibe jina lako tena kidato cha pili?
Unadhani nini lengo la yeye kuacha kutumia jina lake kisha akaanza kutumia lako?
 
Hivi samahani kidogo we kijana, hebu nambie umri wako, elimu yako, kazi/shughuli unayofanya na uraia wako ili tukusaidie maana unapata taabu sana!
 
Mtemi, isijekuwa wewe ndie Kisandu feki na huyo mwingine ndiye original,si ana vyeti vyote
 

Duh we jamaa hatari..sasa ndugu zako wapo corrupt kwa maana wanamtambua deo feki au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…