Mkuu wa Wilaya ya Magu, mkamate FAKE Deogratius Kisandu hapo Magu

Huyu Bw. Bernad Mtorela ambaye anajiita Deogratius Kisandu, tayari kisha enda kwa Mkuu wa Shule ya Magu Sekondari kumuomba amlinde pale mimi nitakapoanza kazi ya kisheria, na pia wameenda shule moja ya msingi hapo magu na kufoji TSM 9 iliionekane ametoka nalo jina hili shule ya msingi na wamemkubalia wa kishirikiana na Afisa elimu na mmoja wa maafisa utumishi hapo Magu wilayani. Pia ana kitambulisho changu cha Ubatizo alichokiiba kupitia mzazi mwenzangu mmoja, kitambulisho hicho nilipewa na Padre Kabu hapo Magu mwaka 1998 nikiwa najiaandaa kuelekea utawani baada ya kukatisha masomo yangu magu sekondari mwaka 1998 januari nikiwa kidato cha pili.

Pia sitakubali kuombwa msamaha bali msamaha unaombwa mahakamani "Defarmation case"

Pia amefoji mambo mengi sana kuhusu mimi ikiwemo kuiba nakala ya usajili wa kampuni yangu ya Teachers and Students Forums-Tanzania.

Pia usiwasikilize ndugu zangu hata mmoja, wengi wako corrupted kwenye hili swala.

Nakushauri mkuu wa wilaya fanyia kazi hili, utanikumbuka.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
Wewe una psychological problems...!!!
 
Mbona huyu jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuwa kisandu? Au yeye ndo kisandu fake ndo maana anajaribu kujinadi. What is so special about this name? Kama kakuibia jina lako na wewe tafuta lingine kisha nenda mahakamani kaape kubadili jina, majina yapo mengi tu, nina jamaa zangu wanamajina special akina Titus Koti, John Shati, Prosper Kaguo, wakina John Pazia, peter Tandiko, Ernest Bunduki. Nawewe tafuta lako kama Deogratius Maboga.
 
14e0afa0b087e78d702991113a9c4c5b.jpg
 
Deogratius Kisandu tafadhali nisaidie kuelewa.....
Ilikuwaje MTU uliekuwa unasoma nae akiwa na jina lake kisha ulipoondoka yeye aibe jina lako tena kidato cha pili?
Unadhani nini lengo la yeye kuacha kutumia jina lake kisha akaanza kutumia lako?
 
Huyu Bw. Bernad Mtorela ambaye anajiita Deogratius Kisandu, tayari kisha enda kwa Mkuu wa Shule ya Magu Sekondari kumuomba amlinde pale mimi nitakapoanza kazi ya kisheria, na pia wameenda shule moja ya msingi hapo magu na kufoji TSM 9 iliionekane ametoka nalo jina hili shule ya msingi na wamemkubalia wa kishirikiana na Afisa elimu na mmoja wa maafisa utumishi hapo Magu wilayani. Pia ana kitambulisho changu cha Ubatizo alichokiiba kupitia mzazi mwenzangu mmoja, kitambulisho hicho nilipewa na Padre Kabu hapo Magu mwaka 1998 nikiwa najiaandaa kuelekea utawani baada ya kukatisha masomo yangu magu sekondari mwaka 1998 januari nikiwa kidato cha pili.

Pia sitakubali kuombwa msamaha bali msamaha unaombwa mahakamani "Defarmation case"

Pia amefoji mambo mengi sana kuhusu mimi ikiwemo kuiba nakala ya usajili wa kampuni yangu ya Teachers and Students Forums-Tanzania.

Pia usiwasikilize ndugu zangu hata mmoja, wengi wako corrupted kwenye hili swala.

Nakushauri mkuu wa wilaya fanyia kazi hili, utanikumbuka.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
Hivi samahani kidogo we kijana, hebu nambie umri wako, elimu yako, kazi/shughuli unayofanya na uraia wako ili tukusaidie maana unapata taabu sana!
 
Mtemi, isijekuwa wewe ndie Kisandu feki na huyo mwingine ndiye original,si ana vyeti vyote
 
Huyu Bw. Bernad Mtorela ambaye anajiita Deogratius Kisandu, tayari kisha enda kwa Mkuu wa Shule ya Magu Sekondari kumuomba amlinde pale mimi nitakapoanza kazi ya kisheria, na pia wameenda shule moja ya msingi hapo magu na kufoji TSM 9 iliionekane ametoka nalo jina hili shule ya msingi na wamemkubalia wa kishirikiana na Afisa elimu na mmoja wa maafisa utumishi hapo Magu wilayani. Pia ana kitambulisho changu cha Ubatizo alichokiiba kupitia mzazi mwenzangu mmoja, kitambulisho hicho nilipewa na Padre Kabu hapo Magu mwaka 1998 nikiwa najiaandaa kuelekea utawani baada ya kukatisha masomo yangu magu sekondari mwaka 1998 januari nikiwa kidato cha pili.

Pia sitakubali kuombwa msamaha bali msamaha unaombwa mahakamani "Defarmation case"

Pia amefoji mambo mengi sana kuhusu mimi ikiwemo kuiba nakala ya usajili wa kampuni yangu ya Teachers and Students Forums-Tanzania.

Pia usiwasikilize ndugu zangu hata mmoja, wengi wako corrupted kwenye hili swala.

Nakushauri mkuu wa wilaya fanyia kazi hili, utanikumbuka.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.

Duh we jamaa hatari..sasa ndugu zako wapo corrupt kwa maana wanamtambua deo feki au?
 
Back
Top Bottom