Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,711
- 2,677
Kwanza ukitaka kujua Ukubwa wa kimaamuzi kat ya Meya na Mkuu wa Wilaya Muattend kwenye vikao vya ODC Ndipo mtakapo jua nan big, kifup halmashar ikishikwa na wapinzan Mkuu wa wilaya anakuwa Joka la kibisa, Namhurumia Makonda mno na utendaji wake wa kimabavu