usimie mkuu kuikubali pombe lazima uwe mlevi.Imeniuma sana
Mkuu kwa hiyo huyu ndio yule waliemtengua. kama ni kweli kajitakia mwenyewe ila kama sio yeye wamemwonea sanaMbona utenguzi wake ulikuwa siku ile ile nadhani ni wa igunga, kiherehere Chake tu mbona taarifa ya kutenguliwa ilitoka mapema au hana tv/radio au account Facebook?
Mkuu,,kwa hakika sijashika jina lake,ila Hicho Ndicho nilichokisikiaSasa mbona husemi ni nani?
Mbona utenguzi wake ulikuwa siku ile ile nadhani ni wa igunga, kiherehere Chake tu mbona taarifa ya kutenguliwa ilitoka mapema au hana tv/radio au account Facebook?
Angetakiwa kuombwa msamaha jamani hiyo kitu inauma sana kweli kuaibishwa mbele ya kadamnasi bila hata aibu.nimesikitika sana jinsi watu wanavyojisahau wakipata vinafasi .Very unprofessional"Nlikuwa natizama hapa azam two,(Kama cjakosea) ghafla mkuu mmoja WA wilaya Mteule akaambiwa atoke nje/atupishe Kwani aliteuliwa kimakosa,,bila hata ya kuambiwa neno Kama samahani au ishara yoyote ya kuonesha kuwa wamemletea usumbufu,lakini kuambiwa'tupishe'kwani uliteuliwA kimakosa!!!
Mimi naona ingefaa Sana kama angefuatwa alipoketi aambiwe bila hata ya watu wengi kunotice kuwa hakustahili kuwapo pale(kwamba kuteuliwa kimakosa na aombwe radhi kwa usumbufu),, Lakini Haikuwa Hivyo, badala yake Katolewa nje wazi wazi,, mnalionaje hili Wakuu???"
Jee hiyo hapo juu ni uungwana?
usimie mkuu kuikubali pombe lazima uwe mlevi.
Naomba barua au maelezo kutoka ikulu ya kutenguliwa kwake.Mbona utenguzi wake ulikuwa siku ile ile nadhani ni wa igunga, kiherehere Chake tu mbona taarifa ya kutenguliwa ilitoka mapema au hana tv/radio au account Facebook?