Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Mkuu kwani jamaa kasema DC hafai?mim mwenyewe nampata sana huyu Dada....ntafunguka kesho
Sisi tunaangalia theme ya andiko. Lengo la andiko ni kumchafua mtu.

Wewe unamfahamu. Wengine unadhani wanaweza ondoka na maana gani. Tunatakiwa kuwa positive nchi yetu bado changa sana na maskini.
 
Sioni cha ajabu hapo. Huyo aonyeshe uwezo wake kwenye nafasi yake,upeo wa elimu anao.
 
Sioni cha ajabu hapo. Huyo aonyeshe uwezo wake kwenye nafasi yake,upeo wa elimu anao. Jamaa wa Ufipa wanachoshangaa ni kuwa siyo `baby` wa mshua.
Mi sioni kosa la mleta mada...mbona andiko liko positive tu...wasiwasi wa watu ni nini??Huyo dada kashakuwa public figure,ngumu kuzuia kujadiliwa...

Ana elimj nzuri na ni mpole sana...Mi sijajuwa tu kwenye kuongoza!lkn pia inaleta kapicha fulani tu
 
naipenda sana jamii forum kwa mambo yake hakuna lisilo wezekana hapa,, tunachambua kwa uwazi,, naona vijana wa facebook mmeibukia huku,, ukweli ni kuwa huu undugu ni mbaya sana kwa manufaa ya taifa hili sikutegemea mzee wa mizuka amchukue na huyo binti wa udom
 
nepotism-1.jpg

nepotism-quotes-6.jpg
 
Toa data watu watachangia hakuna haja ya kuporomosha matusi. Katiba yetu inamruhusu raisi kufanya uchaguzi wake na vile hatuna wakuwathibitisha hawa (cf mawaziri) basi lolote laweza kutokea na upendeleo hapa si kitu cha ajabu kwani ikimpendeza mkuu unaweza kuchaguliwa. "You serve at the pleasure of the president". Kwa katiba hii inabidi tutegemee busara za raisi full stop.
 
Isitoshe sio baba yake wa kumzaa shida iko wapi hapo?. Tatizo tunalolikataa wananchi ni kubeba mtu asiyebebeka...huyo dada anayo elimu nzuri tu...
Wewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?

Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.
 
Toa data watu watachangia hakuna haja ya kuporomosha matusi. Katiba yetu inamruhusu raisi kufanya uchaguzi wake na vile hatuna wakuwathibitisha hawa (cf mawaziri) basi lolote laweza kutokea na upendeleo hapa si kitu cha ajabu kwani ikimpendeza mkuu unaweza kuchaguliwa. "You serve at the pleasure of the president". Kwa katiba hii inabidi tutegemee busara za raisi full stop.
Wangejua kuwa kila mtu anaagizwa akalete wake wala wasingelalamika
 
Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
Mkuu, ukuu wa wilaya hauombwi, ni cheo cha kuteuliwa.
 
Wewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?

Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.
Mkuu umefafanua vizuri. Nataraji wachangiaji watasoma comment yako.
 
Back
Top Bottom