Kama hafiki kileleni maana yake njia sio sahihi!Ngoja nikupe mfano ,kumfikisha mwanamke kileleni kunaweza kufanyika kwa njia nyingi ,sasa badala ya wewe kucheza na parts husika unaishia kumvuta nywele ama kumsugua unyayo kwa brashi ukitegemea atafika unaweza ukawa sahihi ila njia uliyotumia haito kufikisha kwenye malengo yako kirahisi
Ni kweli japo alikua na mawazo kwamba njia hiyo ingefanikisha adhma yake ,matokeo yake ndio kama hivyo sasaKama hafiki kileleni maana yake njia sio sahihi!
Ndio maana tunamwelimisha Makonda kwamba kachemka! Huu ni udhalilishaji mkubwa sana kwa Walimu wa Dar! Asirudie tena mchezo huu, awe anafikiri kabla ya kusema na pia kuomba ushauri kabla ya kuamua jambo linalohusu maslahi ya watu!Ni kweli japo alikua na mawazo kwamba njia hiyo ingefanikisha adhma yake ,matokeo yake ndio kama hivyo sasa
Niliposema alikua na idea nzuri ila ameshindwa kui implement hakua na maana namtetea Makonda ,ila idea hiyo hiyo angefanya badala ya kupanda daladala bure wangewalipa walimu fedha hizo kwenye mishahara yao ingekua jambo la busaraNdio maana tunamwelimisha Makonda kwamba kachemka! Huu ni udhalilishaji mkubwa sana kwa Walimu wa Dar! Asirudie tena mchezo huu, awe anafikiri kabla ya kusema na pia kuomba ushauri kabla ya kuamua jambo linalohusu maslahi ya watu!
Idea ya Makonda haikuwa ni kuwawekea fedha kwenye mshahara bali Walimu kupanda daladala bure! Usiongeze idea ambayo Makonda hakuisema!Niliposema alikua na idea nzuri ila ameshindwa kui implement hakua na maana namtetea Makonda ,ila idea hiyo hiyo angefanya badala ya kupanda daladala bure wangewalipa walimu fedha hizo kwenye mishahara yao ingekua jambo la busara
Hajasema kuwa yeye ni mwalimu bali kaambiwa na mwalimu wa hapo, na tukitaka kuthibitisha twende tukawaulize!Huenda aloleta mada pia ni mwalimu,sasa walimu wooote waanze kuja kufungua threads hapa
Huyo ndio mtendaji wa JPM anayemwaminia sana hivi sasa anasubiri kupandishwa cheo,Ndugu wakuu,
Jumatatu ya tar 7 March 2016 mkuu wa wilaya ya Kinondoni akiwa amebebana na waandishi wa Habari ambao aliwalipa alikwenda shule ya Msingi Tumaini iliyopo Kawe kupata maoni ya walimu kuhusu mpango wake wa nauli bure , walimu wote wakitoa maoni yao walipinga mpango huo wakimwambia wenyewe hawana shida na nauli na wala hawataki vitambulisho vyake ambavyo walimu hao waliviita ni vya udhalilishaji japo walimu wawili tu ndio waliunga mkono tena kwa unafiki.
DC huyo akaanza kuwatolea lugha chafu walimu hao tena mbele ya waandishi wa habari akisema ninyi ni wajinga , hamna elimu , hamjasoma na kashfa nyingine kibao kama nyie ndio mmetengeneza Makonda ambao hawajasoma na maneno mengi ya kashfa ambapo walimu hao walikaa kimya.
Kilichosikitisha walimu hao ni jinsi taarifa hiyo ilivyopotoshwa kwenye taarifa za Habari kwani walichukua kipande kile tu cha walimu waliomsifia kwa unafiki.
Kwa kweli walimu hao walichukizwa na yeyote ambaye yupo tayari kuwasaidia anaweza kwenda pale shuleni tumaini kupewa taarifa zaidi hapa nimeweka kwa kifupi sana.
Akiwemo na first lady kabisa hii ni kashfa kubwa sanaTena dc huyo akaongezea kwa sababu mmetengeneza makonda ninyi wenyewe kwa ujinga wenu ndio maana leo mnaogopa kwenda ku wa face kwenye madala dala , Aisee huyu dc alikosa adabu walimu wengine ni kina baba na kina mama wenye umri wa kumzaa kabisa