Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Makoda ameanza kuharibu cv mapema hivi!
walidhani wakiwa wanapanda daladala bure kila kitu kitakuwa sawa....
Zipo 3 tuuuDar hiyo hiyo ina shule kibao Top 10 ya zilizo ongoza, nadhan n zaid ya nusu kama sikosei
Bila kusahau kumuongezea aliyetobolewa macho na scorpion boda boda za bureehahahaha,singeli,vigodoro,midundiko,kanga moko,chips mayai,supu ya pweza,punga nation,sembe, nk hapo watafaulu vipi aisee labda kwa maombi rasmi km ya kuomba mvua dadeki
[HASHTAG]#makonda[/HASHTAG] aendelee na vita zidi ya shisha,watoto wa mitaani na kuwasimanga wenyeviti wa mitaa.bila kukoaa kwenda clouds
Duuuuh na beach yao coco ya bure hawatak gharama na washaifanya guest.....Form six mbona wakubwaa....kule form 1&4 wamejaaa....
Pia wana macamp yao wanabebana kwenda beach weekend weee ni balaa...kwenye maji humo
Alikuwa anapambana na kuwaondoa mashoga na watumia shisha kule alipitiwa kidogo mwaka huu atakaza butiYalipo toka matokeo ya kidato cha pili, mkuu wa mkoa alipata shida sana. Alipata manyanyaso, matusi na hata kutukanwa. Wengine watu wa heshima kabisa walitubutu kutoa kauli mbaya. Wetu wengine walisema tumezoea unyago, jando na utoro wa shule. Leo matokeo ya kidato cha nne yametoka, Dar es alaam imeongoza kutoka mwisho. Pia shule 7 kutoka mwisho zimetoka Dar. Sasa nasubiri matamko dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es alaam
anza serikali inayodhulumu haki zao za msingi.Pamoja na walimu kupanda bure daladala bado mkoa unaburuza mkia kwa kweli walimu wa shule hizo inabidi wawajibishwe ikiwemo na viboko.
Sasa sijui watafungwaa Mungu wangu nawaonea uruma jamanishule zilizoongoza ni za private wakati zilizofanya vibaya ni za serikali