Mkuu wa mkoa Tabora anatumia gari isiyo ya hadhi yake!

View attachment 489054
Linafanana na hili?
Miaka hiyo lilikuwa gari la mawaziri!
.
Kweli Mkuu halafu wakawapa 504 miaka 1980. Mtu uko mjini unapewa shangingi la nini? Wape RV 4 kama alivyoshauri Mhesh Lukuv*. Na yule wa Wilaya kule KGM aiyepotea maporini sijui kwa nn aliendana shangi*** , too porshe for the woods, alipaswa kutumia Landrover au LCruser HardTOP.

Candid scope
 
Tamisemi, au kwa yeyote anayehusika, ni aibu kwa mkuu wa mkoa wa Tabora kutembelea lile li Nissan Patrol la kizamani ihali anaendesha mkoa mkubwa ambao mikoa kama ya Dar inaingia minne.

Msaidieni mheshimiwa mkuu wa mkoa aweze kupata gari linaloendana na hadhi ya ukuu wa mkoa. Kumuweka huyu mheshimiwa kwenye gari ambalo hata mimi afisa mauzo siwezi kulitumia ni jambo la kutia huzuni.

Pia kwa ujumla magari ya wakuu wa mikioa wengi yamechakaa... Ndio maana hata Bashite ameamua kulitelekeza gari la serikali na kutumia gari binafsi. Ni hatari kuwaweka wakuu wa mikoa wetu kwenye vyuma chakavu.

Wawezesheni kama mkuu wa mkoa, nadhani wa Lindi yeye nimemuona kwenye Prado mpya.

Hii itasaidia kuongeza tija na morali hasa katika kipindi hiki cha HOFU KUU!
Bila picha hapa utakuwa unatwanga maji kwenye kinu, wacha maneno weka picha.
Ila mkumbushe huyo RC unayempigia chapuo kuwa ajiandae bajeti ya 2017/2018
RC's wote wataanza tembelea IST NA DC's watatumia Vitz, hivyo mkumbushe kuwa asidharau chungu cha zamani akitegemea kupata chungu kipya.
 
Back
Top Bottom