shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
nishawai kusoma humu jamiiforums ile thread alivyomwagowa tindi kali..
kuna sehem iliandikwa jamaa ana akili kuliko maprofesa 50 wa udsm ukiwachanganya pamoja..
anapiga moves za hatari na huwez mbananisha...
wanakwambia kichwa chake kwenye biashara ni kikubwa kuliko walimu wote udbs pale wakichanganya akili zao...
sasa hivi kafungua silent ocean rwanda, congo na burundi napo aaanze waibia tra zao za kule...
wafanyabiashara karibu wote kariakoo wanapitishia mizigo kwake sababu anawasaidia kulipa kodi kiduchu... na hii mbinu imempa wateja wengi sana

Jamaa alikuwa smart, aliangalia miaka 10 mbele, alikuwa anatumia kampuni za waswahili kupitishia mizigo yake, kuna waswahili walikuwa na kumpuni lakini hawana kazi, alichokuwa anafanya ni kuwalipa kwa makubaliano anapitisha mizigo yake, kilivyobumbuluka yeye yuko salama, hayuko kwenye documents unamkamataje? mziki ukabaki kwa waswahili,
Kafunga na kampuni kabisa kaanzisha mpya na biashara nyingi zimebadilka,
Kwa sasa ni watu wa viwanda na foundation.