Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,084
722
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
20240420_030137.jpg
 
Wasisahau kuuliza maswali kuhusu mabasi ya mwendokasi(UDART), SGR na ajali za barabarani.
 
Huyu naye kama mwana siasa Kila wiki press zisizo na tija
Press za serikali zinatakiwa kila wiki, ila sio kupitia huyo anayeitwa msemaji wa serikali. Inatakiwa Rais mwenyewe awe anafanya press kujibu maswali ya waandishi wa habari.
 
Press za serikali zinatakiwa kila wiki, ila sio kupitia huyo anayeitwa msemaji wa serikali. Inatakiwa Rais mwenyewe awe anafanya press kujibu maswali ya waandishi wa habari.
Kizimkazi anavyo penda safari hana muda huo KABISA. Watanganyika tujipange
 
Huyu Msemaji naye alitakiwa awe last line of defence ya usemaji, na abaki na issue chache tu za kitaifa za kuzisemea. Awaache wasemaji wa mambo ya kisekta wasema, kama kuna sehemu wameboronga, yeye anakuja kusafisha, sasa kila kitu, kila siku.

Mitandao ya kijamii ya mikoa na halmashauri ya wasemaji wa mikoa haiko active, hatujui amewapa strategy zipi za utendaji kazi, kwamba kila wiki waweke habari zipi, ngapi, na namna gani viongozi wa maeneo wanatakiwa wawe nao kila mahali

Matokeo yake inabidi yeye atembee nchi nzima kila mkoa akijifanya kuongea na wakuu wa maeneo hayo, wakati angeweza kutumia watu waliopo hapohapo na yeye akarusha content. Posho tu
 
Huyu Msemaji naye alitakiwa awe last line of defence ya usemaji, na abaki na issue chache tu za kitaifa za kuzisemea. Awaache wasemaji wa mambo ya kisekta wasema, kama kuna sehemu wameboronga, yeye anakuja kusafisha, sasa kila kitu, kila siku.

Mitandao ya kijamii ya mikoa na halmashauri ya wasemaji wa mikoa haiko active, hatujui amewapa strategy zipi za utendaji kazi, kwamba kila wiki waweke habari zipi, na namna gani viongozi wa maeneo wanatakiwa wawe nao kila mahali

Matokeo yake inabidi yeye atembee nchi nzima kila mkoa akijifanya kuongea na wakuu wa maeneo hayo, wakati angeweza kutumia watu waliopo hapohapo na yeye akarusha content. Posho tu
Anashindana na Lucas 😄😄😄
 
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.

📅 Jumamosi, Aprili 20,2024.
⏰ 7:30 Mchana
📍 Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), Jengo la TTCL, Ghorofa ya 3 Barabara ya Samora, Dar es Salaam.
 
Attachments

  • IMG-20240420-WA0070.jpg
    IMG-20240420-WA0070.jpg
    718.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom