Kumbe CCM wanafurahishwa na upuuzi unaofanywa na Lusinde bungeni? Kumbe ndio maana CCM hovyo kabisa....Bulembo ndo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na ndiye aliyefanikisha mikakati ya ushindi wa CCM. Ndiye alikuwa msemaji wa Mgombea wetu wakati wa kampeni. Kibajaji ni Mbunge wa Mtera. Mnafahamu pia muziki wake anaowahenyesha pale Bungeni