Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,993
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo wewe,unafurahi hawa watoto,wawe watoto wa mitaani,tutengeneze taifa watoto wasio na elimu.Kuna shule hazina smile kwa watoto vilaza. Shule za serikali watoto wengi humaliza shule ya msingi bila kujua kusoma, kuandika wala kuhesabu na hilo wanaona sawa. Shule binafsi hazitaki kuzalisha vilaza. Uliza wazazi waliokua wanalalamika kuhusu Al-Muntazir schools wameishia wapi.
Mtoto kutoelewa darasani ni kosa la uongozi wa shule inayohusika,kutosimamia elimu,ima kwa kuajiri waalimu wasio na sifa au shule haina vitendea kazi vya kutosha au Mkurugenzi hafanyi vilao na wazazi kujuwa maendeleo ya shule.