Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba atembelea Shirika la Utangazaji Japan

Miaka mitatu sasa na miezi sita imepita tangu afanye ziara hiyo. Mbona TBC imebaki vile vile ? TBC hii inashindwa hata na Azam ? Hata Wsafi TV inawakibiza TBC hata kwa graphics ? Alienda kujifunza nini sasa . .?
 
Back
Top Bottom