Mzee Sulle anaishi magorofa ya Aicc Kijenge.Mzee Sulle au Mwenda?
Ila tayari nilishanusa upendeleo kwani principally ukitaka ku resolve conflict lazima pande zote zinazozana zikae meza moja then awepo mediator.
Nashangaa hakuwa amewaita walalamikaji hata mmoja sielewi alikuwa anatumia miujiza gani kufikia muafaka
Sikubaliani na hilo kwani awamu hii wateule wanafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu ONLY hawaruhusiwI kutaja NJAAUkiona hivyo ujue tayari alikuwa na jina la mshindi mfukoni![]()