Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,606
- 4,262
Wanaweza kuamua huyo Husna ashindishwe tu kwa kuwa ni wa chama chetu. Otherwise, sioni kama alishinda. Huyu mkurugenzi mwenyewe anaonekana anasema uongo ndiyo maana majibu yake yanamfanya aonekane kama juha kwa ajili ya kutetea uongo ambao anajua kabisa ni uongo.