Mkoa wa Mara ulipewa jina hilo mwaka gani?

Mkoa uliitwa wakati Musoma inakua makao makuu ya mkoa, nadhani mwaka 1965-1967 maana source yangu hakuwa na kumbukumbu nzuri umri umeenda sana
Mkoa wa Mara ulianzishwa mwaka 1962 kutoka mkoa wa Kikoloni wa Lake Province (Jimbo la Ziwa) ambao ulizaa mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera. Wakati wa ukoloni kulikuwa na majinbo nane (Lake, Northen, North-Eastern, Eastern, Central, Western, Highlands and Southern provinces)
 
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hiki ambacho mimi na ushashi tumekisema kwamba mkoa wa Mara ulipewa jina hilo kutokana na passage ya Biblia katika kitabu cha Kutoka 15? Mimi nilikuwa nafanya research tu kwanza. Nilitaka hata kuona kama inspiration ya fimbo ya Mwalimu ilitokea humo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…