gambanjeli
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 395
- 250
Mkoa wa Mara ulianzishwa mwaka 1962 kutoka mkoa wa Kikoloni wa Lake Province (Jimbo la Ziwa) ambao ulizaa mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera. Wakati wa ukoloni kulikuwa na majinbo nane (Lake, Northen, North-Eastern, Eastern, Central, Western, Highlands and Southern provinces)Mkoa uliitwa wakati Musoma inakua makao makuu ya mkoa, nadhani mwaka 1965-1967 maana source yangu hakuwa na kumbukumbu nzuri umri umeenda sana