Si aibu ukiambiwa huna akili hujui serikali zinavyoendeshwaKilimanjaro watalishwa na Chadema.
Acha ulofa, hata wewe unaweza kukodi fuso ukaja kubeba mahindi, na ukawauzia huko kwenu kwenye njaa njaa na ukapata pesa..Mbona miaka yote wasilalamike?
Sasa kama kuna mikoa ambayo chakula kinaozea shambani si serikali idistribute katika mikoa yenye njaa?
Mkuu kumbuka kuna wakulima ambao shamba pekee ndio mkombozi wao na hawana alternative nyingineMimi kipato changu haba Lakini hakuna siku nimeomba Msaada serikalini Zaidi ya kupigia akili nitatokaje?? Sasa nini tofauti ya mkulima Na mfanyakazi kiasi kwamba Mwingine ionekane ipo haja ya kumsaidia??
"Huku kwetu kwenye Njaa Njaa"Acha ulofa, hata wewe unaweza kukodi fuso ukaja kubeba mahindi, na ukawauzia huko kwenu kwenye njaa njaa na ukapata pesa..
Kwa walidumaa akili ufipa hata hii fursa hawaioni wamekalia ule wimbo WA malofa wa serikali itafanya, serikali itafanya!!
Inamaana ndizi zimeisha wanazo leta uku urafiki dar mafuso nafuso na kupata mapesa.uko njaa hakuna
Nani kaongelea habari ya Magogoni hapa?Roho mbaya tu... kila siku mnapenda wafeli, na hawatafeli kamwe, tulishawaambia magogoni nyumba nyeupe mtaiona kwenye tv tu kipindi hiki hata juis hamna kuja kunywa,... uhaba mkubwa uhabwa mkubwa mnapotosha watu tu