Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,710
Watanzania tunapenda sana hizi hearsay and mere talk!
Watu wanaweza kuamini yule wa hearsay than from the horse's mouth!
Hivi vitu Mimi vinanishangaza sana sijui kwanini watu wengi wanakuwa wepesi kuamini kila taarifa inayosemwa.
Watu hawachuji taarifa wanaamini tu kwa sababu kasema Mkinga ambaye hakuwepo ikulu na kikao cha JPM na Mkapa kilikuwa cha siri yeye Mkinga kajuaje,kama kweli taarifa ya Mkinga ni kweli basi ikulu ina tatizo