Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,769
Na wanaoutumia majina ya marehemu kukopa na wenyewe tuwafanyaje?Waheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.