Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 33,372
- 67,028
Huu ni uongohalafu mwanamke aiwa na mimba huwa wa moto zaid aisee yaani huchukui mda tayri
Huu ni uongohalafu mwanamke aiwa na mimba huwa wa moto zaid aisee yaani huchukui mda tayri
Ushauri wa Kitoto huu ndugu.Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
unampelekeaje moto sasa na kiumbe tumboniMbona mm Wa kwangu kila muda anataka Ni miez minne ujauzito
Ah wapi yaani mke wangu miaka nenda rudi nimekuwa na fantasy ya kugegeda pregnant woman alafu aninyime....mmbona kitaumana humo ndaniPole Sana,
Nakushauri Usimng'ang'anize,
Utakuja kuleta migogoro isiyokua na msingi kwny familia yako uharibu ndoa yako kizembe sana
Ushaambiwa muishi nao kwa akili,
Kuchepuka nayo Ni akili kwa mustakabali mzima wa utulivu na kuepusha migogoro isokua na lazma katika familia yako
1. Je mmeenda clinic pamoja kupima HIV?Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msariti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiriko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Aache na kula kabisaa maana akishafanya yoote hayo ulosema sidhan kama ndio automatically ana "Discharge zile protein" a.k.a kupiga bao 😎😎Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
Heb fafanua mkuu..Mmeachana au??Wangu alifanya kama wako, nikaenda nje nako nikapata mtoto, leo mwaka wa 2 sijagusa kitu yake
Jamaa kasema ni mke wake na yy ndio mwenye hiyo mimba...sasa kama hawakupim before inasaidia nini??1. Je mmeenda clinic pamoja kupima HIV?
2. Kama hujaenda naye nenda naye sasa mkapime.
3. Ukimwi bado Upo na Ni Gonjwa Tishio.
Hiv wewe katika historia yako ya kubanwa na nyege ushawah kuona kitu kinachoweza kuibadili mwelekeo zaid ya mbususu..??? Ndio maana wengine wanaamuaga kujichukukulia SHERIA MKONONI 😂😂😂Badilisha mfumo wa ratiba zako fanya mazoezi na uvumilie
Ni kawaida sana mwanamke akiwa na mimba kuwa ktk hali hiyo
Vumilia
Mkuu ushawahi sikia kuhusu mpango wa kando?Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
😅😅😅😅😅😅 kama alikuwa hajui kazi ya mchepuko ndio majibu atayapata mbele ya jicho la ibilisi😅Wee Jamaa umenichekesha Sana Apo kwny macho ya shetani
Dawa ya Nyege ni kuvumilia siku hizi?Badilisha mfumo wa ratiba zako fanya mazoezi na uvumilie
Ni kawaida sana mwanamke akiwa na mimba kuwa ktk hali hiyo
Vumilia