Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

Naomba tusipindishe maneno hapa, huyu jamaa ana maanisha Gari na wala sio kitu kingine. Kama ni kitu kingine basi angesema.

Kuna plenty of pervs here (Posting # 05 etc) na pia kuna kundi jingine la watu pia ambalo what they see is BLUE (Especially Posting # 37).
 
N'nunulie KIBAJAJI!!!!!


Hahahahaha, I like this one, at least I can laugh.

Honestly, I'm total lost on this subject. Hizi lugha/misemo tunatofautiana kuchambua, left me alone, for sure ningeongelea gari as gari kama inavyoonekana hapa, lakini sasa na hizi habari zingine tena dah, I am out of the game.
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

Nangisye,
Whatever the meaning of the so called mifumo unayoiongelea, just few questions kwako;
-Kwani wewe ulimzoeza mfumo upi siku zote?
-Imekuwaje unaamua kuchange kutoka mfumo uliokuwa umemzoeza ghafla unataka ajifunze mfumo mpya, na je wewe "UMEJIFUNZIA" wapi na lini?


Ni hayo tu!
 
Nikichukulia maana ya halisi ya swali kama lilivyowekwa, ongea na mke wako taratibu. Inategemea unaishi nchi gani ila sehemu nyingi tatizo la foleni ni kubwa sana na kuendesha MANUAL inachosha sana, mkeo anafika nyumbani hooooiii, and you know what that means, it comes back to you.

Najiuliza maswali mawili - kwani AUTOMATIC inakusumbua nini wewe akiendesha? Kama ulimnunulia gari bila kum-consult Shaurilo!

Pili inakuwaje ushindwe kuongea na mkeo jambo rahisi kama hilo hadi uombe ushauri, au kweli haumaanishi GARI MANUAL? Tumia tu vizuri Nyama ya Ulimi, rusha maneno basi utapata unachotaka.

Be smart na kila la heri.
 
mh! Hapa kazi ipo.....

Kwa nini ukiumwa usikodi 'teksi' kuliko kumlazimisha kitu ambacho hapendi?

Simu si zipo? Ni kiaisi cha kumpigia teksi driver tu....my assumption ni kwamba madamu una magari yenye mifumo miwili ya kiuendeshaji na mkeo hataki kuendesha 'manual', basi in case of emergency (ICE) basi we kodi teksi...kama hospitali au unaenda benki....ni juu yako
 
huku Zenji auto ni ile ya kawaida na manual ni hii ambayo gear kuingia ni kazi sana hasa kama grisi hakunaa. kama hakuna grisi lazima utasikia kelele. mi nazijua hizooo.
 
...Katika thread za kusisimua katika jukwaa hili la mahaba, mojawapo ni hii ilofunguliwa na Bw Nangisye.

...Kiswahili kilinyooooshwa, kikapinduliwa, kikasambaratishwa halafu kikakusanywa tena na kufinyangwa finyangwa... :D

Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?
 
Washikaji mfafanue zaidi mnamaanisha nini kuhusu manual na automatic kwani mimi nilifikiria kuhusu magari.
 
Naomba tusipindishe maneno hapa, huyu jamaa ana maanisha Gari na wala sio kitu kingine. Kama ni kitu kingine basi angesema.

Ni kweli baadi ya wanawake wakiwa nje ya ndoa ni wepesi wa kushaurika,kukubali wanachoambiwa,kushauriwa n.k, lakini wakishaolewa na kufunga pingu za maisha ni wabishi sana mfano hakuna.Leo unamwambia ajifunze mifumo yote ya uendeshaji gari anakataa, usipokaa sawa anaweza kukunyima hata unyumba au akakusingizia kila siku amechoka.

Cha msingi una kura ya Turufu, inabidi utumie ubabe kama Bush la sivyo ubeijing utakusumbua. Baadhi ya makabila yanafikia hata hatua ya kuchapana viboko. Mimi nakushauri mweke kati vizuri asikuletee utani, inawezekana hata hela za kujifunza ni wewe unazitoa. Wakati mwingine katika familia bila kutumia ubabe kidogo mambo hayaendi kabisa. Kama kuna mtu mme yeyeyote atabisha basi itabidi nishangae Sana.

Mweke Kati, tumia akilia atakubali, sitegemei vitu kama hivi vitamshinda mwanaume wa shoka.



Duu mkuu mgumu kidogo kuelewa kumbe sasa angekuwa anamaanisha gari angepost hapa sehemu ya mapenzi????Inawezekana kweli???Haiwezekani kabisa huyi anamaanisha kitu kingine kabisa ila hapo ameandika kwa mafumbo ndio maana hujaelewa ila huyo kamaanisha vingine ndio maana watu wengi nadhani wameanza kuelewa nini anamaanisha.....
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

kama hataki mnyang'anye hilo gari.
 
...Katika thread za kusisimua katika jukwaa hili la mahaba, mojawapo ni hii ilofunguliwa na Bw Nangisye.

...Kiswahili kilinyooooshwa, kikapinduliwa, kikasambaratishwa halafu kikakusanywa tena na kufinyangwa finyangwa... :D

na bado,kikawa na mafundo fundo :lol::lol::lol:
 
ha ha ha! Auto=VODA, manual=tIGO....karibuni kwa michango yenu, amwambieje mkewe? Meaning amconvince vipi?
 
kwa nini kutaka kumrudisha mkeo karne moja nyuma? Kadri siku zinavyokwenda hata hizi automatic transmissions zitakuwa hazifai, labda tutaendesha magari kwa kubonyeza vitufe tuu..

Nangisye,
Mimi nashauri kwa jumla kuw hii forum inahitaji kuletewa problems ambazo ni worth adising, na si kila ktu. Maana sasa tukiendelea hivi itafikia kipindi mtu ataleta problem mathalani "mke wangu kiatu chake cha mguu wa kushoto kimembana, nifanyeje ili kutatua tatizo hili?". Are these sort of quetios/problems worth forwarding to an importatnt forum like this one?
Samahani km nitakuwa nimekughasi kias fulani!
Hawawote ni u18, au hawajapita btn lines
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?
hiyo ni lazima ,kwani atapataje lesini au unampango wa kumpatia kimbinu mbinu?
 
Mkuu thread safi sana Ila 1. Nadhani kuna u18 wengi sana humu au 2. Thinkers ni wachache, na openly ni wengi :focus:
Usimlazimishe mkeo kitu asicho kitaka, ukiwa na shida tafuta msaidizi wake ambaye unauhakika ataziba sehemu ambazo mkeo hazifanyii kazi
 
hahahahah lol
kuna raha duniani ..
kwa nini tu unahangaika kumlazimisha??
kuna shida gani akiendasha automatic?
gari ni gari ilimradi anafika anakoenda..
miaka kama 20 inayokuja hayo magari ya Manual yote yatakuwa history ..

nimeipenda hii lakini ...
raha kweli kama hivi ndo vitu unavyo bishana na mkeo ..
true love hahahah lol
 
miaka kama 20 inayokuja hayo magari ya Manual yote yatakuwa history ..
Manual inaraha yake bwana kwasabau unaweza kufanya vitu
vingi kama heel toe downshifting. Kwahiyo ni bora tuu mke
amsikie.

Inawezekana mafundisho aliyopewa yanamfanya agome
kujifunnza manual lakini kama atajifuza taratibu itasaidia
kubadilisha mboga.
 
Back
Top Bottom