uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 15,933
- 29,966
Mke wangu anathamini sana kazi kuliko familia
Yeye ni mwalimu wa primary, tuna mtoto mmoja, ila mara nyingi anasahau vitu muhimu ninavyomuagiza kuhusu mtoto na familia kwa ujumla. kwa kifupi ni mtumwa wa kazi yake. Je nimsaidie vp aweze kubadilika.
(Mdogo Wangu haya mambo ni magumu .... Kuna wakati tunawalaumu wake zetu wana matatizo Ila sio kweli Mara nyingi.....)
Wanawake ni watu wanaoitaji security kwenye maisha, Ila wanaume ni wabinafsi sana sana, mwanamke awezi kukaa tu akijua mwanaume ni bahili, mbishi etc:
Nijibu maswali haya then nitakushauri:
- Unachukua mshahara wa mke Wako? Je anachangia matumizi ya Ndani?
- Mke wako anajua unapata mshahara kiasi gani? Je mwajadiliana mapato yenu?
- Mke wako ameshakuhisi au kukukuta kwenye mazingira ya kutokuwa mwaminifu?
Sidhani Kama kuna wanawake wengi wasiojali watoto wao, Ila wakipima na kuona mwanamme haleweki wanakuwa na wasiwasi.
If you real love a woman, ukamjali na Kama sio mfujaji, sidhani Kama atakuwa na shida, but ogopa mke akijisikia in security, she becomes hatari.
Pole mdogo Wangu, but check hizo details hapo juu