Aisee!Siasa ukiiendekeza inakuwa kama ukichaa sasa ma Bashite yamekujaje huku.?
Supu ya mbwa huliwa ikiwa bado ya moto/ dog's soup is eaten while still hotHapo ni suala la muda tu hiyo My itakuwa My love . toa uzio wa mawasiliano mwambie akueleze usije ukafanya maamuzi ya hasara
Hammer the nail while its still hot
Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Kesho nitaifanya kazi maana kuscan kwa hizo code nahisi kunataka mwanga wa kutosha.Download application ya WebChat, chukua simu yake nenda kwenye WhatsApp option ya whatsappweb scan WhatsApp yake kule kwenye WebChat uwe unamfuatilia vizuri. Angalia usisome message zake kabla hajayasoma ili usishtukiwe. Pia kumbuka kuweka option ya keep me signed in ili isijilog out.
Take as many screenshots as possible kama sehemu ya ushahidi.
Pia picha zikitumwa waweza kuhifadhi.
Onyo: kama huna moyo usijaribu hii kitu utakufa kabla ya muda wako!
Na wewe upo wapJamaa ni mwanaume yupo Dar
Kama li mtu lenyewe liko humu humu JF unafikiri litakushaurije?Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Mkuu kama unataka Ndoa yako ivunjike endelea kufuatilia hill neno "my"Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Yaani kusoma hujui hata picha huoni?. Kashaliwa tayari. Kama ni moto uwashe tu.So jamaa nae anamiliki mke wangu au? Ujue nazidi kupanic yaani
We humwiti mkeo 'My' kaitwa na wanaojua kupenda kazuzuka. Tafuta ulipo jikwaa mkuuMi nimeumia we furahi tu
Umepotea sana mkuu shikamooo.MY means Mali Yangu