Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Kwani mkuu wewe hakuna binamu yako au shangazi yako au dada yako au rafiki yako tu wa kike aliwahi kukuita my katika maongezi au chatting zenu?
 
Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Atakuwa atakuwa ni my husband wake ALBERT Bashite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom