Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

ata wew mwenyewe ukiwa unaumwa malaria tuta ku-pv ili tuone ugonjwa unaumwa
 
:D:D:D kweli umeamua kufurahisha genge la Jf......
yaani chuo unasoma wewe, kwa shemeji yako unakaa wewe, ukimwi umeathirika wewe, jini umeoa wewe, :D:D:D:D:D
supplementary upate wewe, na sasa mkeo amezalishwa na madaktari wadogo...:D:D

ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni:eek::eek::eek:
Bila kusahau chuo anashangaa hapati demu kama alivyoaminishwa ukifika chuo madem nje nje
 
:D:D:D kweli umeamua kufurahisha genge la Jf......
yaani chuo unasoma wewe, kwa shemeji yako unakaa wewe, ukimwi umeathirika wewe, jini umeoa wewe, :D:D:D:D:D
supplementary upate wewe, na sasa mkeo amezalishwa na madaktari wadogo...:D:D

ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni:eek::eek::eek:
Huyu jamaa anapend kutafta kiki
 
Wakuu leo nilimpeleka wife kujifungua ,sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke wangu ??

Mbaya zaidi mke wangu alikuwa anawasifia na kudai eti vinajua kupeti peti na vimemzalisha vizuri .

Nasemaje serikali iingilie kati swala hili ,mambo ya uzalishaji waachiwe madaktari wa kike wanaume wasiguse kabisa yani

Daah nawaza kishenzi washaiona tayali papuchi ya mke wangu na heshima naona itashuka.
Wewe unachekesha sana kwa taarifa yako hao wdogo ndio wanafuatilia ethics .
 
Nimecheka, bora wanaume sio wambea. Angezalishwa na vibinti wangemaliza kumzalisha wangeanza kucheka mala oooh mvivu kazi kulia lia.
 
Wakuu leo nilimpeleka wife kujifungua ,sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke wangu ??

Mbaya zaidi mke wangu alikuwa anawasifia na kudai eti vinajua kupeti peti na vimemzalisha vizuri .

Nasemaje serikali iingilie kati swala hili ,mambo ya uzalishaji waachiwe madaktari wa kike wanaume wasiguse kabisa yani

Daah nawaza kishenzi washaiona tayali papuchi ya mke wangu na heshima naona itashuka.
Madaktar/manesi wa kike hawatoshi pia utoaji wa Huduma za kujifungua taratibu za wizara hazijaweka limit ya jinsia cha muhimu huduma itolewe vzr bac, ndio maana mkeo kawasifia madaktar watoto kama ulivyowaita wamemzalisha vzr maana bado wana ari ya kazi na vichwa vyamoto maana wametoka choa muda si mrefu
 
:D:D:D kweli umeamua kufurahisha genge la Jf......
yaani chuo unasoma wewe, kwa shemeji yako unakaa wewe, ukimwi umeathirika wewe, jini umeoa wewe, :D:D:D:D:D
supplementary upate wewe, na sasa mkeo amezalishwa na madaktari wadogo...:D:D

ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni:eek::eek::eek:
Kumbe huyu bwana Mdogo anachezea akili za wana jukwaa. Atutake radhi . mkuu kama unaweza quote hizo nyuzi zake zilizopita uzitupie
 
Ndio maana nikatoa pendekezo kuwa serikali ifanye juu chini kuongeza idadi ya madaktari wa kike nchini halafu madaktari wakiume wasiruhusiwe kabisa kuwachungulia wake zetu ,wanawake wazalishwe na wanawake wenzao

Sidhani nchi za kiarabu kama huu upuuzi upo
Kwanza shukuru kuonwa na daktari. Pili Naomba ufahamu kuwa daktari huwa anaona mengi Sana na mkeo sio malaika kuwa Ana uchi wa tofauti Sana. Nahisi uchi wake Ulikuwa hovyo ndio maana Ulikuwa na wasiwasi. Kwa taarifa yako bora mkeo ametibiwa na daktari wa kiume angekutana na wa kike ungekoma.
 
hawako pale kuangalia hayo mambo yako.bali nikusaidia mzazi atoke salama.usichafue professinal za watu
 
Mkuu usicheke hii kitu serious inauma ,

Bora hata wanaozalisha wangekuwa watu wazima kidogo kuna afueni lakini ni vitoto vidogo saana yani
We naweeee haya kuwa ww dk umzalishe mwenyewe.ktk maisha huwezi kila kitu na huwez weka wigo kila kitu.

~Mbona husemi anae mkanda km ni mama yako au mama mkwe anaona papuch ya mkeo tena na kujua unako pata starehe zako??

~Uwe unakua acha kupost vitu vya ajabu.shukuru Mungu katoka salama.angepata tabu ungewatafuta hata hao unao wadharau et wadogo ww vp?
 
Kule umesema kinachokuuma ni vile ulivyomwona mkeo akiumia,hapa unasema kilichokuumiza ni madaktari wadogo kumzalisha mkeo.
Tushike lipi sasa
 
Back
Top Bottom