Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.
Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu yeyote.
Tuna watoto watatu, sasa hata miradi tuliyoanzisha nataka nimwachie tuu akamilishe palipoishia ,ila nahofu atakwenda kudai kwa mwajiri apewe sehemu ya mshahara wangu, ijapokuwa nilikopa ili kuanzisha mambo ya ujenzi na msharaha napokea kama 1/3 ya Hela yote.
Ijapokuwa Nina Hela mahali ya kumalizia deni husika, sasa kama nikiachana naye na kulipia deni lote bank ,kama m15, nahisi anaweza kunizunguka na kusema niwe nakatwa Hela kwaajili ya matunzo.