Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

mhogoz

JF-Expert Member
Oct 16, 2021
869
1,504
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,

Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.

Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu yeyote.

Tuna watoto watatu, sasa hata miradi tuliyoanzisha nataka nimwachie tuu akamilishe palipoishia ,ila nahofu atakwenda kudai kwa mwajiri apewe sehemu ya mshahara wangu, ijapokuwa nilikopa ili kuanzisha mambo ya ujenzi na msharaha napokea kama 1/3 ya Hela yote.

Ijapokuwa Nina Hela mahali ya kumalizia deni husika, sasa kama nikiachana naye na kulipia deni lote bank ,kama m15, nahisi anaweza kunizunguka na kusema niwe nakatwa Hela kwaajili ya matunzo.
 
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.

Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu yeyote.

Tuna watoto watatu, sasa hata miradi tuliyoanzisha nataka nimwachie tuu akamilishe palipoishia ,ila nahofu atakwenda kudai kwa mwajiri apewe sehemu ya mshahara wangu,ijapokuwa nilikopa ili kuanzisha mambo ya ujenzi na msharaha napokea kama 1/3 ya Hela yote.

Ijapokuwa Nina Hela mahali ya kumalizia deni husika, sasa kama nikiachana naye na kulipia deni lote bank ,kama m15,nahisi anaweza kunizunguka na kusema niwe nakatwa Hela kwaajili ya matunzo.
Mwanamke haachwi kwa makoss madogo kama hayo, unakuwa mwanaume tu bila kuongea na isipofanya kazi basi unamps cheo awe bi mkubwa
 
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.

Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu yeyote.

Tuna watoto watatu, sasa hata miradi tuliyoanzisha nataka nimwachie tuu akamilishe palipoishia ,ila nahofu atakwenda kudai kwa mwajiri apewe sehemu ya mshahara wangu,ijapokuwa nilikopa ili kuanzisha mambo ya ujenzi na msharaha napokea kama 1/3 ya Hela yote.

Ijapokuwa Nina Hela mahali ya kumalizia deni husika, sasa kama nikiachana naye na kulipia deni lote bank ,kama m15,nahisi anaweza kunizunguka na kusema niwe nakatwa Hela kwaajili ya matunzo.
Ulijichanganya kuoa. Mshahara lazima ukatwe kwaajiri ya matunzo ya watoto, huna namna brother.
 
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.

Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu yeyote.

Tuna watoto watatu, sasa hata miradi tuliyoanzisha nataka nimwachie tuu akamilishe palipoishia ,ila nahofu atakwenda kudai kwa mwajiri apewe sehemu ya mshahara wangu,ijapokuwa nilikopa ili kuanzisha mambo ya ujenzi na msharaha napokea kama 1/3 ya Hela yote.

Ijapokuwa Nina Hela mahali ya kumalizia deni husika, sasa kama nikiachana naye na kulipia deni lote bank ,kama m15,nahisi anaweza kunizunguka na kusema niwe nakatwa Hela kwaajili ya matunzo.
Magufuli alifukuza vyeti fake, kuna mliobaki?
 
=>Mnamuachia adui nafasi kila mara.

=>Kuachana/Talaka ni chanzo kikuu cha kutapanya mali na kuvuruga akili za watoto, hakuna kitu kinaitwa MUENDELEZO WA BIASHARA ZA FAMILIA, kitapatikana kwa mfumo huo wa matalaka kila sekunde.

=>Ili uchumi wa jumla, uimarike, ni lazima familia kwanza ziwe imara na uchumi wa familia uwe imara.

=>Kwa hizi habari za matalaka kila sekunde, ndio huu mchezo wa kila binadamu mweusi kuanza kuanzia 0 kutafuta mali hautakoma.

=>Mwanamke ni kiumbe asiye na maono, ila ana nguvu za kiroho kwa utambuzi. Sasa mali na watoto unamuachia mtu asiye na maono, unategemea nini?

=>Watu wanapooa (ikiwa walifanya chaguzi sahihi) wajue wazi wanaingia katika mbingu yao ya duniani, lakini pia wajue mbingu hiyo ina maadui wengi sana wa nje.

=>Nafkiri utakuwa shahidi, umeshasikia nyimbo nyingi zenye mistari "mtaachana tu...".
Hiyo ndio roho waliyonayo baadhi ama wengi, wa waliowazunguka.

=>Ukijua hilo, ni muhimu kutafuta chanzo cha tatizo kuliko kukimbilia talaka.

=>Umeachana na mke wako, una watoto 10, na wao wakikua wakubwa sidhani kama kuna atakayeona shida kutalikiana---mnyororo utaendelea sivyo?

=>Kwa sababu wewe hukutafuta chanzo cha tatizo na wala sidhani wanao watakuwa na hiyo nafasi.
 
Mwanamke unatakiwa umchape, ngumi, vibao na mateke wakati mwingine ni nguzo ya kudumisha heshima ndoani.

Angalizo: usimpige mkeo hadharani watu wakamwona au ukatangaza kwa marafiki zako kuwa umempiga kwani hiyo unaweza kumfanya adhalilike na kuendeleza tabia mbovu kwa sababu atakuwa hana cha kupoteza tena.

Mkewe anahitaji kuelewa na kusimamiwa kama mtoto.
Hivyo hebu jaribu hii mbinu then unipe mrejesho wangu.
 
=>Mnamuachia adui nafasi kila mara.

=>Kuachana/Talaka ni chanzo kikuu cha kutapanya mali na kuvuruga akili za watoto, hakuna kitu kinaitwa MUENDELEZO WA BIASHARA ZA FAMILIA, kitapatikana kwa mfumo huo wa matalaka kila sekunde.

=>Ili uchumi wa jumla, uimarike, ni lazima familia kwanza ziwe imara na uchumi wa familia uwe imara.

=>Kwa hizi habari za matalaka kila sekunde, ndio huu mchezo wa kila binadamu mweusi kuanza kuanzia 0 kutafuta mali hautakoma.

=>Mwanamke ni kiumbe asiye na maono, ila ana nguvu za kiroho kwa utambuzi. Sasa mali na watoto unamuachia mtu asiye na maono, unategemea nini?

=>Watu wanapooa (ikiwa walifanya chaguzi sahihi) wajue wazi wanaingia katika mbingu yao ya duniani, lakini pia wajue mbingu hiyo ina maadui wengi sana wa nje.

=>Nafkiri utakuwa shahidi, umeshasikia nyimbo nyingi zenye mistari "mtaachana tu...".
Hiyo ndio roho waliyonayo baadhi ama wengi, wa waliowazunguka.

=>Ukijua hilo, ni muhimu kutafuta chanzo cha tatizo kuliko kukimbilia talaka.

=>Umeachana na mke wako, una watoto 10, na wao wakikua wakubwa sidhani kama kuna atakayeona shida kutalikiana---mnyororo utaendelea sivyo?

=>Kwa sababu wewe hukutafuta chanzo cha tatizo na wala sidhani wanao watakuwa na hiyo nafasi.
Umeongea vizuri sana mkuu. Asante sana. Neno la uponyaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom