madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
- Thread starter
- #221
mkuu vyote ufanyavyo umevianzishaSasa nini kuja huku, nunua faster kajibwa yote ni sehemu ya maisha....
mkuu vyote ufanyavyo umevianzishaSasa nini kuja huku, nunua faster kajibwa yote ni sehemu ya maisha....
Vyote ni sehemu ya maisha mkuu...mkuu vyote ufanyavyo umevianzisha
bado natafakari mkuuKitoto cha kijibwa sh laki sita 600,000 kizur cheupe chenye manyoya mengi marefu
Ndio maana nilitaka kujua faida ya hivyo vijibwa mkuu