Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,294
mama rais analipwa kwa sheria za tanzania.
si yeye tu, kwa sheria za wizara ya mambo ya nje zilizopitishwa kama mwaka mmoja nyuma, wake/waume wa maofisa wa balozi wanatakiwa kulipwa robo ya mshahara wa waume/ wake zao kama disturbance allowance kila mwezi.
kama mama kikwete analipwa robo ya mshahara wa kikwete, basi pesa ya kutembea tu atakuwa anayo kaijaza kapu tele