Mke wa rafiki yangu

Mwambie tu rafiki ako hata akikuona mbaya leo atakushukuru kesho... wanawake jamani sijui wanatamanika na nini ku......ae zao... mtu unamme una watoto unatoa ngenya kwa mtu anakuua unaacha watoto...
 
ukweli unauma lakini hakuna namna mwambie tu. pia ingekuwa ngumu sana kama bado wangekuwa pamoja lakini kama wametengana na wapo kwenye mchakato wa kurudi mweleze tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom