Mke wa rafiki yangu ananitesa kwenye WhatsApp

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam ndugu zangu.

Nina rafiki yangu ambaye yeye anaishi na kufanya kazi Singida na mimi nakaa Mwanza. Hapa Mwanza yupo mke wake ambaye naye ni mfanyakazi wa benki. Kwahiyo, rafiki yangu huja Mwanza kumsalimia mke wake na kurudi zake Singida, anapokuwa Mwanza mimi ndiye kampani yake mwanzo mwisho. Tumeanza urafiki miaka 6 iliyopita kwahivyo familia zetu zimekuwa kama ndugu tu.

Sasa basi, huyu rafiki yangu anapokuwa hayupo (akiwa Singida), mke wake hupenda sana kunitumia threads, clips au picha zinazpashiria uvunjifu wa amri mojawapo ya vitabu vitakatifu. Anapenda sana kunitumia nyakati za usiku.

Nyakati zingine hujipiga picha akiwa kitandani na kunirushia zikiwa na ukumbe "karibu tulale". Video za kugegedana anapenda sana kunitumia.

Nimemkanya sana lakini haachi, mke wangu sijamwambia na siwezi mwambia kwani wataharibu uhusiano. Anaweza kunitumia video nyingiii, mimi simjibu hata moja lakini hakati tamaa.

Naombeni ushauri nifanye nini ndugu zangu,

Asanteni
 
Ushauri wangu kwako ni kwamba piga mzigo... Ila usiuzingatie potezea
 
Mbona unamwaga identity humu? Ndio urafiki ganiHuu..umeshindwa hata kujiongeza?
 
Usilaze damu,bahati hiyo imejileta,wanasema opportunity never come twice
 
Alafu mkuu huu uzi umeweka details nyingi. "Embu edit fasta kabla watu hawajauona kwa wingi. Toa sehemu kama Singida, Mwanza, NMB nk ili watu wasiweze kuunganisha nukta! Mudi msaidieni huyu kiazi jinisi ya kuandika uzi bila kuhatarisha ndoa ya mwenziwe...
 
We jamaa ni jiongeze. Mblock tu huyo na hapo hutopata kuona ujumbe wala video kutoka kwake. Acha uzembe wa makusudi
 
nyinyi ndio wale mnaosababisha wanaume tudharaulike piga game wewe acha ushamba piga akija wewe piga tu
 
Huyo shetani kamvaa,mwambie mme wake kwamba shemeji anakuvunjia adabu.Ukizini utapata matatizo mengi katika kazi zako.Maana Mungu atakuacha.
 
Msubiri rafiki yako arudi. Akirudi fanya kila namna familia zote mbili mkutane. Halafu siku hiyo, Mchongee kwa mkeo na kwa mumewe, tena waoneshe video zote alizokutumia.
Usisahau kutuletea mrejesho wa kitakachotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…