Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela.
Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la Mungu, bila kusahau vifungu vya biblia na nyimbo za mapambio. Lakini inbox sasa, ni full uasherati. Hapa nimetoka kuambiwa kuwa siku tukionana atanipa chakula cha kizungu. Just imagine, mama mchungaji anataka kunitunuku kijana wa Gen Z chakula cha kizungu.
Kataa ndoa...
Ndoa ni utapeli...
Ndoa ni ubaya ubwela...
Na ubwela una mwisho...