Mke kumuhadithia mwanaume baki madhaifu ya mume

Habari wakuu, natumai mko poa wa afya

Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8

Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi madhaifu yangu anamuhadithia huyo jamaa

Mtaniaamehe mm sio muandishi mzuri naomba hoja na mawazo yenu wa kuu kwenye hili swala

Hii imekaaje???

Kama unauliza hili swali ina maana you are not matured kuwa na mke!
 
Sio kusifia ni kua mm namtesa , namkosesha amani kwenye ndoa , kwa mitazamo yake tu anahis namnyima amani
Kwanini unamg'agnia si umuache utafute mgne wewe si amesha kukuacha au unataka kukuandikia barua kabisa yakukuacha, wanaume wengine buana. Wew unaishi mkoani au dar?
 
Kwanini unamg'agnia si umuache utafute mgne wewe si amesha kukuacha au unataka kukuandikia barua kabisa yakukuacha, wanaume wengine buana. Wew unaishi mkoani au dar

Kwanini unamg'agnia si umuache utafute mgne wewe si amesha kukuacha au unataka kukuandikia barua kabisa yakukuacha, wanaume wengine buana. Wew unaishi mkoani au dar?
Wa dar mkuu🤣🤣
 
Kwanini unamg'agnia si umuache utafute mgne wewe si amesha kukuacha au unataka kukuandikia barua kabisa yakukuacha, wanaume wengine buana. Wew unaishi mkoani au dar?
Kwaiyo ni wazi jamaa atakua ni hawara sio
 
Hahhahahahha hapo lazima abembelezwe huku kalazwa kifuani na baada ya hapo wanahamia lodge. Halafu jamaa anaanza kumsifia “mtoto mtamu kama wewe huyo fala anaanzaje kukufoke”.
Nyie wanawake nyie

Anapelekewa moto huku akiambiwa 'Mtukane mumeo!'
 
Habari wakuu, natumai mko poa wa afya

Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8

Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi madhaifu yangu anamuhadithia huyo jamaa

Mtaniaamehe mm sio muandishi mzuri naomba hoja na mawazo yenu wa kuu kwenye hili swala

Hii imekaaje???
Una uhakika kuwa mkeo ana mtu mwingine tena hadi anamsimulia madhaifu yako, sasa unataka tukushauri nini tena, kifupi hapo huna mke, sasa endelea kuishi naye uje ulee mikojo ya mwanaume wenzako
 
Kama unakuja kuomba ushauri ishu kama hii nashauri na wewe utafute mume uolewe
Kwa haraka haraka kuja huku sio km sina hints ni vile pia nataka nisihukumu haraka nipate expisure

Usiwe na negatives ideas tu
 
Back
Top Bottom