Habari wakuu, natumai mko poa wa afya.
Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8
Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi madhaifu yangu anamuhadithia huyo jamaa.
Mtaniaamehe mimi sio muandishi mzuri naomba hoja na mawazo yenu wa kuu kwenye hili swala
Hii imekaaje?