"..Da wanawake bwana"Mpo wakuu?
Ninaye rafiki yangu. Baada ya kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili amerudi nyumbani na kukuta mkewe wa ndoa akiwa na mimba ya miezi nane.
Kumwuuliza mwenye mimba mkewe amemwambia kwamba mimba ni ya baba mkwe.
Amekuja kwangu kuniomba ushauri kwani anapaswa kurudi tena wiki ijayo.
Alikuwa anataka kuwaua wote wawili ila nikamwambia hilo sio suluhisho. Amesema atarudi kesho kupata ushauri zaidi.
Nipeni ushauri wa haraka.
Mbona mtoa mada hajazungumza rafikiye katoka somalia?Apige chini mke arudi Somalia, kuua sio suluhisho ni kuongeza matatizo tu.
miss chagga mambo vipi mpendwana wasi wasi baba mkwe ni muchaga ila atakuwa na tabia za kizamani sana aisee
pouwa za kwako mkuumiss chagga mambo vipi mpendwa
Za kwangu nzuri sana tu mpendwa wangu ila kukumiss tu etipouwa za kwako mkuu
Mwambie afumbe macho tu ajirudie kazini itapata mke bora na hao walio msaliti Mungu atawalipa kwa ufedhuri wao........pia huo ni mtihani wa mwenyezi Mungu kwani kila litokealo Mungu anamakusudi nalo.........ila pia mpe pole sana maana inauma sana.Mpo wakuu?