manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,733
Mbaya sana hii wahusika hawatakaa waisahau siku hii waliyo mwagiwa maji...Ila mabinti wengi wao sijui wako na shida gani binti mdogo kama huyo kaenda jiingiza kwa mume wa mtu kabisa halafu kiboya boya tu...Kweli hapo ndipo naamini wanawake wengi siku hizi wanapenda sana waume za watu.