Escrow ndiyo sababu mkakati ya bunge kutoonyeshwa live, litaibuka tenawanazingua tu wapuuz wale wa escrow wlaiwafanya nn...
Hiyo ripot haijachezewa kweli?
Nina hofu ikiwa unaifahamu vizuri CCM na siasa za Africa kwa ujumla. Yaani kabisa unaamini wabunge wa CCM wanaweza kuwaumbua vigogo wa serikali na chama tawala? Na kv umemtaja Rizwan; yaani unatarajia hao wabunge watamuumbua JK? Au hao vigogo ndo huyo Rizwan? Au unamaanisha wabunge wanaotaka kuwaumbua vigogo ni wabunge wa upinzani? Kama ni wa upinzani; mbona no dots connection kwenye issue ya kulipiza kisasi dhidi ya wabunge wenzao? For what I know, wabunge walioburuzwa kwa Pilato wote ni wa CCM!Kashfa hiyo inatarajiwa kukigawa Chama Cha Mapinduzi baada ya wabunge kudhamiria kutumia kashfa hiyo kuwaumbua vigogo kama hatua ya kulipiza kisasi baada ya wenzao kuburuzwa mahakamani kwa kashfa ya kuomba rushwa.
Nina hofu ikiwa unaifahamu vizuri CCM na siasa za Africa kwa ujumla. Yaani kabisa unaamini wabunge wa CCM wanaweza kuwaumbua vigogo wa serikali na chama tawala? Na kv umemtaja Rizwan; yaani unatarajia hao wabunge watamuumbua JK? Au hao vigogo ndo huyo Rizwan? Au unamaanisha wabunge wanaotaka kuwaumbua vigogo ni wabunge wa upinzani? Kama ni wa upinzani; mbona no dots connection kwenye issue ya kulipiza kisasi dhidi ya wabunge wenzao? For what I know, wabunge walioburuzwa kwa Pilato wote ni wa CCM!
Najua kuwa hawa watu ulindana na najua kabisa kumgusa mtoto wa mfalme unahitji ujasiri wa mwendawazimu, lakini mkakati ni kwamba linapokuja suala la wabunge wanaburuzwa mahakamani lakini vigogo wanalindwaUko sahihi kwa jinsi siasa za kiafrika zinavyoenda mkuu ukirejea yaliyotokea hivi karibuni Afrika ya kuzini, kila wakati mwingine hawa wabunge wa chama tawala huwa wanauza CD kwa wapinzani...
Waisha ifix tiyari utasikia mkataba upo sawa kabisaItakuwa ishachezewa!hakuna cha majipu wala mapusha hapo