Leo nimependa kuwasimulia mkasa wakutisha ulio likumba Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa na idara za usalama yatupasa kujifunza kwa Zambia nakuliepusha Taifa ktk mkwamo.
Ktk Taifa la Zambia ambalo lilikuwa na urafiki na Tz palikuwa na Rais wao wa kwanza alie itwa Kenneth Kaunda.
Kiongozi ambaye aliongoza taifa hilo kupata uhuru wake na mwisho kulipa demokrasia ya kweli democrasia ambayo behind the scene master plan alikuwa hayati Baba Wa taifa la Tz mwl Nyerere.
Kwa wataalamu wa Mambo wanamuona kama Mwl alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Kaunda na hata ilifika wakati mavazi aliokuwa akiyapenda hayati baba wa Taifa yaliitwa Kaunda suti.
Mwl alitamani kuona Kaunda akiachia kiti kwa amani nakustaafu akiwa bado anapendwa na watu wake na pia kuona je upinzani unamadhara gani kwa Taifa.
Baada ya Mzee Kaunda kuipa nchi kwa upinzani alichukua mtumishi wa Bwana Frederick Chiluba. Kosa kubwa Chiluba alilifanya nikumtia ndani Kenneth Kaunda kwa kusema alikuwa fisadi jambo hili lilimfanya Mwl kuomba safari maalumu akitumia mfumo mzima wa usalama akiwa ni Rais mstaafu.
Mwl alienda kumuona Mzee Chiluba na kwa wale wanaweza kukumbuka inasemekana Mwl alimsema Chiluba kama mtoto yaani Mwl alikuwa mkali juu ya tukio lile na kumuonya jambo lile lingeleta maafa kwa Taifa jambo lilimfanya kijana wake huku Tz kupeleka muswaada bungeni wakutoshitakiwa kwa Rais akisha staafu.
Ndugu zangu kwa wale mnakiona chama nakufanya mbwembe as if nyie ndio mliokuwa ccm nawaomba mkasome kisa hiki maana baada ya hapo Chiluba alimtoa Kaunda kwa shingo upande na kumnyanyasa jambo ambalo baadae lilianza kuitesa serikali na nchi mpaka alipotokea Rais ambaye aliona sasa tunaisha na dawa nikumrudishia heshima yake huyu mzee kuliponya Taifa na hii ni baada ya kifo cha Manawasa kwa wale mnakumbuka.
Yaani marais baada ya chiluba na chiluba mwenyewe hawakula pension nimwendo wa nusu mlingoti na mwamba Mzee Kaunda akiwazika vijana wake. Yale Mzee baba alisema at that time Nyerere alisha lala..
Rais alie fuwata baada yakuona hayo yote akaona sasa ni bora wamrudishie heshima yake. Yes kiwanja kikubwa cha ndege Kikaitwa Kenneth Kaunda na heshima yake ya Baba wa Taifa na ndipo baada ya hayo huyo Rais ndie akamzika Kenneth Kaunda akiwa amekula miaka yakutosha na mwenye furaha kwa heshima alipewa.
Huyo rais akatengeneza kituko chake kuona kama atakaye mpokea na yeye atafanya makosa. Thanks God inasemekana Rais alie mpokea kijiti alisema hawezi rudisha ubaya na Taifa limepoa na baraka zinaendelea
Ndugu zangu watanzania leo nataka niwaambie tusipo angalia Taifa hili litakuwa kama Zambia na ninaona kabisa baada ya kifo cha mwal, akafuwata mwanafunzi wake pendwa na mwisho JPM Niishara tosha kuna mahali tumejikanyaga na sasa tunazidi kulikanyaga.
Yes maneno ya Mzee Kikwete nimaneno mazito sana ukitaka nchi itulie sikiliza Wazee maneno haya aliyapata toka kwa Baba Wataifa ♥️.
Inawezekama tusikubaliane na Kikwete ila ametoa fumbo zito sana fumbo la kule tunaenda yakuwa wale walio kwenye mamlaka wakijifanya wajuwaji basi kitakacho wapata wasisahahu chanzo ni Wazee.
Leo nataka niwaambie dam ya Kibao mstaafu ndani ya jeshi sasa yaweza kuwa ni dhahima dhahima nzito katika ujasusi wa ndani na kukosa codination.
Siri ni nzito sana na uwenda watu wakakaukia vitandania kwa ushiri wao.
Tusipo wasikiliza wazee basi tutakuwa tumejitia kwenye mkwamo mkwamo utatufikisha mahali sio pazuri.
Siku zakaribuni kumekuwa na story za jabu sana story zakumtweza muwasisi wa Taifa nakuibua mgongano wakidini wakristo hawakushiriki kupata uhuru wa Taifa hili ila Waislamu.
Mtu anaye fanya haya anajijuwa na anajuwa mwisho wa hizi chuki katika history.
Uhuru wa Taifa hili tumeupigania sote wakristo na waislam na hata wasio na dini. Damu yetu sote ilimwagika kupata uhuru.
Leo kumsikia mtu anamtweza Baba wa Taifa na viongozi wengine nikujifungia bomu nakuingia kwenye visima vya petrol.
Leo kuna watu wanataka uongozi kwa nguvu zote hata kama hawapo katika mlolongo wa viongozi wa kesho.
Mwisho wa haya utakuwa mchungu na kama hatuto wasikia Wazee wa Taifa hili. Vijana na wale mlioko kwenye mamlaka mkubali kuna watu walivikalia hivyo viti na wanajuwa ukweli wote wasikilizeni. Nandipo tutakuwa na Taifa lenye baraka na amani.
Naandika haya kwakuwa naona kule tunaenda kama hatutoshituka na huu utitiri waundugunaization mambo mabaya yatatupata.
Mungu wa Tanzania 🇹🇿 anayaangalia sana machozi ya watanzania nakujibu haraka sana epukeni kuwaliza watanzania na tendeni haki nakuwasikiliza wazee
Mungu ibariki Tanzania na watu wake na viongozi wake.
Amen